Ukizini na mwanamke nje ya ndoa, Mungu anapunguza Miaka 5 kwenye maisha yako

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
Nimetoka kusoma Biblia sasa hivi

Dah, kupunguziwa Miaka 5 nayo mbaya.

Imagine Mungu alikuandikia kuishi Duniani Miaka 100, lakini ukazini na mwanamke nje ya ndoa kama 10 ivi ina maana wewe tuko nawe Kwa Miaka 50 tu.

Jamani ACHENI uzinzi, tuishi milele

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

 
Back
Top Bottom