maisha

  1. JamiiForums Tanzania Ni tabia zako zipi ambazo mwanao akirithi, zinaweza kumsaidia au kumuathiri kwenye maisha yake?

    Binadamu ni kama maua, hukua, huchanua na hata hunyauka. Na kama binadamu nina amini hakuna aliye kamilika. Je, ni tabia zako zipi ambazo mtoto au watoto wako waki zirithi? Zinaweza kuwasaidia au kuwaangamiza katika maisha yao hapa duniani.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

    Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo. je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua...
  3. JamiiForums Tanzania Mawazo juu ya namna ambavyo tunaweza kukabiliana na ugumu wa maisha na kujipa uhuweni

    Kumbuka, hakuna suluhisho la haraka au rahisi la kutatua matatizo yote ya maisha, lakini kutumia mbinu hizi na kufanya jitihada zako binafsi kunaweza kuboresha hali yako na kukuwezesha kuhimili ugumu wa maisha kwa ufanisi zaidi. Kuelewa jinsi ya kupunguza ugumu wa maisha ni muhimu sana kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwijaku ana juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu ya dini aliyonayo

    Niseme tu ukweli huyu jamaa huwaga namshangaaga sana, licha ya kukaa sana madrasa na kufanikiwa kumaliza juzuu 30 ila maisha anayoishi hayaendani kabisa na elimu aliyonayo. Hatukatai anajitafutia rizki ila kwa kweli ni too much haswa kwa mtu kama yeye. Kwa alipofikia sidhani kama atakuwa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha Kenya, Mama ajirusha baharini na mtoto

    Ugumu wa maisha Kenya, mwanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
  6. JamiiForums Tanzania Nguzo za umeme za zege sasa ni hatari kwa maisha kuweni makini msikae karibu

    Kudondoka kwa nguzo za umeme za zege imekuwa kawaida kabisa. Mimi mwenyewe nimeshuhudia nguzo mbili Moja ikijeruhi mtu akiwa ndani ya gari. Wahusika wawataarifu wananchi wasisogelee hizi nguzo. Ni hatari hazina vyuma ndani yake. ikipata unyevunyevu tu inaanguka. Mimi nilishangaa engineers...
  7. JamiiForums Tanzania Meja Kunta alalamika kutishiwa maisha na Wasowiso na Makers the Gang, Serikali iingilie kati

    Msanii Mejakunta amejikuta akiishi maisha ya hofu mara baada ya Lebo ya awali aliyokuwa akifanya nayo kazi ya Makers Entertainment kushindwana nao kikazi na kila mmoja kuangalia ustaarabu wake. Lebo hiyo inayoendeshwa na vijana wawili ambao ni GMaker na Wasowiso wamekuwa wakimuhujumu mara kwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 "We! Mmmmhh ni wewe, hapana sio wewe ni wewe" alisikika rafiki wa maisha akimuita Naisha

    😂😂😂Hahaa!! Acha nicheke nifurahi, nikakumbuka hadithi ya "Nani amfunge paka kengele" niliyofundishwa na Mwl Ludao 😀 Mmhh, nyie! Acha kabsaa, ukiachilia mbali ile hadithi ya Mwl Kukome "Sizitaki mbichi hizi". Ukiachilia mbali maswali yangu niliyouliza kutojibiwa zaidi ya kuambiwa kua uyaone 😂...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha yamekupiga? Jiite Mtume, Kuhani au Nabii ndani ya miaka 3 una gari lako

    Binafsi nilikuwa miongoni mwa watu ambao ukiwasema vibaya hao niliowataja juu naona kabisa kuwa unakwenda kulaaniwa na hutasamehewa. Yaani niliona ni heri uue unaweza kusamehewa lakini si kuwasema hao wanaoitwa watumishi wa Mungu. Sasa niko huru, naweza kujadili na kumsema au kumkemea mpuuzi au...
  10. JamiiForums Tanzania Asilimia 13 ya Watanzania hupoteza maisha kwa mwaka kutokana na maradhi ya moyo

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Muhimbili Mloganzila Fabian Kamana akimfanyia uchunguzi mgonjwa kwa kutumia mashine ya ECHO . Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila Dkt. Fabian Kamana ametoa rai kwa jamii kupunguza matumizi ya mafuta, chumvi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kipato cha kila siku ni kitendawili cha maisha

    Naam: Kiswali lugha adhimu iliyotukuka kwa semi za wahenga, nahau, methali, hadithi na vitendawili, Mmmh wataka kujua! nisikusimulie sana leo, kuna kitendawili kisemacho "Tega ni kutege" na jibu lake likawa " mwiba" Hahaaa😂 Sote twafahamu kuwa mwiba unachoma , wachoma wapi na saa ngapi? ajua...
  12. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli alijuaje hali halisi ya maisha ya Wananchi katika uongozi wake?

    Hayati Rais Magufuli kila alipofika kwenye ziara zake hakuangalia wale aliokaa nao karibu mezani mbele,aliangalia wananchi waliosimama kusubiria hotuba yake,aliwaangalia sura zao, na wakati mwingine alienda kuwasalimia. Hiyo ilitosha kumpa ufahamu kuwa ana jukumu kubwa la kufanya ili maisha ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai: Rais asipoidhinisha Adhabu ya Kifo baada ya Miaka 3, Mfungwa apewe Kifungo cha Maisha

    Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Othman Chande amependekeza kuwa endapo itapita miaka 3 bila Rais kutoa Idhini katika Adhabu ya Kifo, Wafungwa wenye Hukumu hiyo waweze kubadilishiwa adhabu kuwa Kifungo cha Maisha. Hata hivyo, Tume imesema kuna malalamiko kuhusu Adhabu ya Kifungo cha Maisha...
  14. JamiiForums Tanzania Soma hapa baadhi ya maswali muhimu ya kujiuliza kwenye maisha

    TUJIKUMBUSHE baadhi ya maswali ya kujiuliza hasa kwa vijana; 1. Unaishi kwenye maadili mema au tabia zako una mashaka nazo? 2. Mpenzi/mchumba uliye naye utafika naye kwenye ndoa au mnakulana tu? Utamuoa huyo binti/utaolewa na huyo kijana? 3. Wewe kama mtumishi wa Mungu unatenda yale...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa

    Hellow Maisha ya ndoa yana changamoto nyingi sana japo kuwa kuna wakati matatizo yanasababishwa na pande zote mbili Kwa upande wa mwanaume vitu vinavyo pelekea wao kuleta migogoro kwenye ndo ni mwanaume kutokana a jamii ilivyo mshape na kuonekana kuwa ndio final say au mtoaji maamuzi kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli manifestation inaweza kukuletea maisha unayotaka?

    Jamani ndugu zangu naomba mtu anieleweshe MANIFESTION INAHUSISHA NINI? Na je inaweza kunisaidia kupata ninachotaka maishani mwangu? Mfano nataka kazi au pesa au maisha mazuri nawezaje kupata kwa njia ya kumanifest? Naomba kuelekezwa njia za kumanifest : unafumba macho au unafanyaje? Kuna mdada...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Sifa za mwenzi ninayemtaka 1. Awe na umri kuanzia miaka 32 na kuendelea. 2. Dini yoyote ila akiwa muislamu...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uwajibikaji Utoaji wa Huduma kwa Jamii 2021/22

    Taasisi ya WAJIBU imetumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) za mwaka 2021/22 kukuletea taarifa rahisi ili kukuwezesha mdau wa uwajibikaji kuzielewa ripoti hizo na kudai uwajibikaji pale unapokosekana. Ripoti hii inategemea ukamilifu na usahihi wa ripoti na taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania LHRC: Waliotishiwa maisha watoe taarifa polisi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekemea vikali matukio ya kutishiwa maisha kwa baadhi ya Watanzania wanaoonekana kuwa na mlengo au maoni tofauti. Sambamba na hilo, LHRC imekemea vitendo vya baadhi ya viongozi wa Serikali hususani mawaziri kutoa maonyo ambavyo yanaashiria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…