Rushwa, umasikini, gharama za maisha na kutoshirikishwa ni kati ya vitu vinafanya Watanzania kutokuwa na Furaha

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi

Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra Leone, #Tanzania, Malawi na #Zambia zimetajwa kuwa na Wananchi wasio na Furaha zaidi duniani huku sababu zikiwa ni Mamlaka za Nchi husika kutokuwa na udhibiti wa Rushwa, Umasikini na Kuminywa kwa Uhuru wa Maoni

Vipi Mdau, Unafurahishwa na namna Mamlaka zinavyoshughulikia Kero mbalimbali Nchini?

========

Factors Affecting and observed Happiness Index

The World Happiness Report published by the Sustainable Development Solutions Network of the United Nations considers a total of 6 factors in order to create the list of the happiest countries and rank all the global nations accordingly. The parameters are here as follows:

Dystopia: This implies the feeling of suffering from injustice or being attacked by totalitarianism or the aftermath of an apocalypse.

Perception of Corruption: Being in a state of a feeling where the citizens perceive themselves as being triggered by corruption.

Generosity: The basic humankind relationship between people and the sense of humanity and sympathy.
Freedom to Make Life Choices: This factor stands for the state where one is enough free or liberated to make decisions and choices in life, without compromising due to the implications of society.

Healthy Life Expectancy: The measurement of expecting a healthier lifestyle unbothered by my imposition of deadly diseases or ailments.

Social Support: The parameter that measures the support that the citizens of the nation receive from each other.

GDP per Capita: The Gross Domestic Product number of a country divided by the population also plays a major role while indicating poverty and financial stability.
 
Back
Top Bottom