maisha

  1. JamiiForums Tanzania Sipendi kuonekana mbaya kwenye maisha

    Lakini ili la leo limenisikistisha zaidi, though muhusika nimemuelekeza huku nacheka, kuna staff mwezangu anafikaga kuiacha familia yake home kwangu mimi naishi karibu na maeneo ya kazi, dah wananipa mazingira magumu sana jamani. Tuliwaigi kufanya dili la elfu 60,000 yeye ndo alifanya dili...
  2. JamiiForums Tanzania Kuwa na mzazi wa namna hii ni zaidi ya kero

    KUWA NA MZAZI WA NAMNA HII NI ZAIDI YA KERO. "NIMEKUBALI LAANA YA BABA" Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna kijana mmoja tumekuwa tuliwasiliana Kwa takribani mwezi sasa. Amekuwa akiniomba msaada wa ushauri wa namna ya kukabiliana na yale yanayomkabili ambayo kwake anayaona kama ni matatizo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tutaenda mahakamani kwa kupata tafsiri ya Mwenyekiti wa maisha Mzee Mbowe

    Watanzania wote wanaoamini katika demokrasia ni muda muafaka wa kwenda kuomba mahakama itupatie ufafanuzi wa uwepo wa Wenyeviti wa kudumu kwenye hivyo vyama vya siasa.Kwa kuwa imekuwa ni vigumu kuwapata viongozi wapya kwenye hivi vyama kwa njia ya kupiga kura ni vyema tutafute haki kupitia...
  4. JamiiForums Tanzania Katika maisha yako usipende sana kuikimbizia GARI

    Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu. Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe. Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe. Labda...
  5. JamiiForums Tanzania Falsafa na Maisha 101: Ni muhimu sana kuwafunza watoto wetu falsafa muhimu za maisha, la sivyo maisha yao duniani yatakuwa magumu sana

    Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu. Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha 1. Usiwe mtu wa kulalamika...
  6. JamiiForums Tanzania Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

    Ni muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF.... Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi... Nimejiwekea utaratibu kila...
  7. JamiiForums Tanzania Mnawachukia wazungu ila mnatumia teknolojia yao na elimu yao na mnapenda maisha yao na mnakimbilia Ulaya na Marekani kwa wingi

    Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab. Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko. Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao. Acheni unafiki wabantu na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

    Kuna ex girlfriend wangu mmoja kwasasa tupo mikoa tofauti ingawa hakuna umbali sana katika ya mkoa aliopo yeye na mimi. Simuhitaji tena na ndio maana hata naweza nikakaa hata miezi mitatu au sita bila kumtafuta na namba zake za simu nilishafutaga na kichwani pia hazipo mana sina kawaida ya...
  9. JamiiForums Tanzania Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

    Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa. Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
  10. JamiiForums Tanzania Generation Z hawatumii nguvu kwenye maisha, chard Talent amenata na beat kiwepesi kabisa

    Generation Z ni kizazi kisichotaka mambo mengi kwenye maisha, mfano nimekutana na hiki kipande cha mchekeshaji Chard Talent akiweza kuimba kwenye beat iliyopigwa kwa kutumia Guitar na msanii Hamis BSS. Binafsi nimegundua Chard Talent pia kwenye mziki yuko vizuri. Chard Talent amenata na beat...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu wa Askofu Gwajima ameshindwa baada ya Paul Makonda kuteuliwa?

    Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye. Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele ya waumini pepo...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Maisha yamenipa funzo kubwa

    Habari zenu ndugu zangu. Natumaini wote ni wazima wa afya. Katika kupambana na maisha na kuptia changamoto mbalimbali kumenifanya niwe mtu mpole sana, mkimya na mtu nisiye na makuu. Katika ukuaji wangu wa ujana enzi zile nikiwa teenager sio siri nilikuwa na akili za kipuuzi sana, maisha...
  13. JamiiForums Tanzania Popo tishio kwa maisha ya Wakazi wa Upanga Dar es Salaam

    Na Francis Godwin Changamoto ya Ndege aina ya popo imekuwa ni Tishio Kubwa kwa wakazi wa Mtaa wa Seaview Kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam. Madhara ya popo yanaweza kutofautiana kutoka kwa kipindi cha mwaka na eneo. Hapa kuna madhara kadhaa yanayoweza kutokea kwa sababu ya...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nani amefanya mwaka wako kwenda vizuri hata pale ambapo uliona hutatoboa? Chukua nafasi hii kumshukuru kila aliyesafisha njia yako ukapita bila shida

    Habari Wanajf? Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika. Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
  15. JamiiForums Tanzania Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

    Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP. === Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega. Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?

    Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii? Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost...
  17. JamiiForums Tanzania Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

    Kazi unafanya lakini hutoboi Kusoma umesoma lakini huajiriwi Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless. Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi. Wachawi watu wabaya sana.
  18. V

    JamiiForums Tanzania Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  19. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wasanii wa Tanzania wenye hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki. Nani kasahaulika?

    wasanii wenye Hali nzuri nje ya Sanaa ta mziki, Kwa Sasa hawajishughulishi sana na mziki kama kazi zao kuu, ni wastaafu Si jambo la kuficha kwamba ni wasanii wachache huwa wana hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki Orodha ya hawa wasanii hatuwezi kusema kwamba ni matajiri wa kutisha...
  20. JamiiForums Tanzania Utajiri wako na hali nzuri ya maisha unayojisifu nayo si lolote kama jamii inayokuhusu ni masikini na fukara

    Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…