Mnawachukia wazungu ila mnatumia teknolojia yao na elimu yao na mnapenda maisha yao na mnakimbilia Ulaya na Marekani kwa wingi

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Dec 26, 2022
9,473
12,866
Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab.

Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko.

Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao.

Acheni unafiki wabantu na watu wa jamii za Asia ya kati na bara arab.Mkubali tu wazungu wametuzidi na tuwape kongole zao.

Kila kukicha mnakimbilia huko kama wamewaroga na uchawi wao wa kizungu.

Lakini mkishashiba kashata na kahawa na ugali na biriani mnaanza kupiga kelele kwenye platform za hao hao wazungu kua ni mabeberu.

Na mnajifunza lugha zao pia ili kurahisisha mawasiliano duniani.

Hakuna watu wanafiki na watu wenye husda kama wakazi wa bara la afrika na bara Asia ya kati na bara arab.

Badala ya kupambana kimikakati tunaishia ila siku kulalamika.

Ukiona binadamu anapenda kulalamika na kukosoa bila mantinki bas ujue huyo ana wivu na husda na chuki binafsi.

Tunashindwa mpaka na wakazi wa bara Hindi na mashariki ya mbali na wayahudi.

Kila siku tunaishia kulalamika na kukimbilia ulaya na marekani.

NB: NENDA ULAYA NA MAREKANI UONE VIJANA WA KIAFRIKA NAMAANISHA WABANTU NA KIAZERI NA KIAFGHAN NA KIARABU NIMETAJA KWA UCHACHE TU WANAVYOPATA SHIDA KUISHI HUKO.

MFANO MZURI NI KWENYE KAMBI YA WAKIMBIZI ISIYO RASMI KWENYE MLANGO BAHARI WA UFARANSA NA UINGEREZA.
 
Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab.Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko.
Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao.
Acheni unafiki wabantu na watu wa jamii za Asia ya kati na bara arab.Mkubali tu wazungu wametuzidi na tuwape kongole zao.
Kila kukicha mnakimbilia huko kama wamewaroga na uchawi wao wa kizungu.
Lakini mkishashiba kashata na kahawa na ugali na biriani mnaanza kupiga kelele kwenye platform za hao hao wazungu kua ni mabeberu.
Na mnajifunza lugha zao pia ili kurahisisha mawasiliano duniani.
Hakuna watu wanafiki na watu wenye husda kama wakazi wa bara la afrika na bara Asia ya kati na bara arab.
Badala ya kupambana kimikakati tunaishia ila siku kulalamika.
Ukiona binadamu anapenda kulalamika na kukosoa bila mantinki bas ujue huyo ana wivu na husda na chuki binafsi.
Tunashindwa mpaka na wakazi wa bara Hindi na mashariki ya mbali na wayahudi.
Kila siku tunaishia kulalamika na kukimbilia ulaya na marekani.
NB: NENDA ULAYA NA MAREKANI UONE VIJANA WA KIAFRIKA NAMAANISHA WABANTU NA KIAZERI NA KIAFGHAN NA KIARABU NIMETAJA KWA UCHACHE TU WANAVYOPATA SHIDA KUISHI HUKO.MFANO MZURI NI KWENYE KAMBI YA WAKIMBIZI ISIYO RASMI KWENYE MLANGO BAHARI WA UFARANSA NA UINGEREZA.
Huna hoja yenye mashiko. Mbona wao wanatuchukia lakini wanapenda raslimali zetu?
 
Hilo swali halina mahusiano na huu uchafu ulio tupa hapa.

Nakuuliza tena kwenye hiyo picha ya profile ni wewe ?
Mkuu siwezi kujadiliana na mtu asiyekua na lugha za staha na za kiungwana,taaluma na sanaa ya mawasiliano kati ya binadamu na binadamu inakataza.
Sisi wasomi wa saikolojia za binadamu na waandishi wa habari tuliobobea tunaamani kauli ya mwanzo ya mtu ni taswira tosha ya kivuli chake katika nyanja zote za ubinadamu kwa asilimia 45%.
 
Back
Top Bottom