Kama eneo uliko maisha magumu na biashara zako haziendi hamishia Chato. Huku Mambo Safi

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote.

Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja Chato kuonana na rais wetu.

Wakati huo huo Chato imetangazwa kuwa kitovu cha utalii, na usafiri wa ndege kwenda Chato umezinduliwa hivi karibuni. Kwahiyo fedha yote ya nchi ipo Chato.

Nakushangaa wewe unayeendelea kuishi maeneo mengine ya nchi hii ukiendelea kupigika wakati Chato kuna neema kubwa.

Pesa iko Chato. Nasema uwongo ndugu zangu?
 
Na mwandishi akiwa Chato kashindia makande.

Atakuja mtu aseme "mitano tena"
 
Nimeche
Miradi mikubwa inajengwa Chato.
Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote .

Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja Chato kuonana na rais wetu.

Wakati huo huo Chato imetangazwa kuwa kitovu cha utalii, na usafiri wa ndege kwenda Chato umezinduliwa hivi karibuni. Kwahiyo fedha yote ya nchi ipo Chato.

Nakushangaa wewe unayeendelea kuishi maeneo mengine ya nchi hii ukiendelea kupigika wakati Chato kuna neema kubwa.

Pesa iko Chato. Nasema uwongo nd
Nampango wa kwenda kujitolea hospital mpya ya Chato hata wakinilipa mikate na chai hahaha chaaaaato
 
Nimeche

Nampango wa kwenda kujitolea hospital mpya ya chato hata wakinilipa mikate na chai hahaha chaaaaato
Karibu Chato ndugu yangu. Huku hata biashara ya kumtembeza msukuma kwenye shamba la mahindi ukadanganya kwamba huu ndiyo utalii wa misitu inalipa.
 
Back
Top Bottom