Wajumbe Wazima?
Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield.
Baada ya salamu hebu twende direct kwenye mada.
Kwanini mkishaoa huwa ndoto zenu zina kufa?
Scenario 01:-
Walimu wa2 from Songwe. Hawa jamaa nilikutana nao 2012 Tunduma, tukawa marafiki. Kwenye maongezi yetu nikagundua waliajiriwa 2011...
Haabari wadau..!
Maisha ya UDSM enzi hizo yalikuwa powa sana sijajua kwa sasa.
Tuanzie wapi ,ngoja tuanze na Boom enzi hizo lilikuwa 4000/= kwa siku ila tulivyoingia chuo ikabidi tufanye mgomo Boom liongezwe watoto wa mama hawataelewa.
Maandamano yalianzia Revo Square sijuhi kama watoto wa...
Katika maisha kuhangaika ni jambo la kawaida bila kujali wewe ni mfanyabiashara, mkulima, mfugaji, mwanasiasa, mtumishi wa uma, mvuvi, msanii au mwanasanaa, fundi nk. Kila mmoja ana jambo ambalo linamshugulisha ili aweze kuendesha maisha yake ya kila siku. Kupitia shuguli hizo baadhi yetu hupata...
Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda.
Siku moja, nikiwa darasa la tatu walipita wageni nyumbani ambao walikuja kwa shughuli zao pale kijijini. Walisikia...
Kwenye wimbo wa Diamond wa Baba Lao yope wanatajwa na kusifiwa watu ambao Leo hawapo Tena kwenye circles of power .
Magufuli baba Lao.
Makonda baba Lao .
Hawa Leo wote hawapo mmoja kafa mwingine majaliwa yake anajua Mungu.
Funzo tukanyage kwa adabu ardhi ya Mungu.
Unajua kwanini gharama za maisha zimepanda kwa kipindi hiki kifupi?
Labda nianzie hapa. Kwa kipindi cha karibu miaka sita cha mnyonge mnyongeni, wanyonge waliishi kama malaika wakati matajiri waishi kama mashetani. Hivyo chochote kile ambacho kingefanyika kumnyonya huyu mnyonge kisingeruhusiwa...
Faida tano zinazopatikana kwa kusaidia wengine wenye uhitaji.
1.Utakuwa na furaha zaidi
2.Hujenga mahusiano mazuri na urafiki katika jamii.
3.Inakujenga kuwa mvumilivu katika kupitia nyakati ngumu.
4.Kitendo cha kusaidia wengine ni kizuri kwa maendeleo yako binafsi.
5.Inaweza kufanikisha...
Kuna maneno mawili ambayo ukiyachukulia kikawaida unaweza kuyadharau sana lakini ni maneno ya muhimu sana kuyatumia kwenye maisha yetu ya kila siku
1.SAMAHANI
Vyovyote utakavyoiweka iwe kumradhi, nisamehe, niwie radhi, tafadhali nk; ilimradi tu uoneshe kukiri/kujutia kosa ulilofanya...
Habari ndugu jamaa na marafiki wa jukwaa hili.
Wengi mtashangaa kwanini kichwa cha habari kinasema ivo ni kwasabu nitaweka vitu vinavyonitokea au nitakavyo vifanya daily au kitakaponitokea chochote iwe ni cha kipuuzi au cha kuelemisha au cha kuchangamsha.
Tukio la kwanza : juzi bhana wakati...
Ushawahi kujiuliza nani atakuandaaa siku yako ya mwisho pale mwili utakapotengana na roho, nani atakuosha, nani atakuvisha? au ushajiuliza inakuwaje pale mtu anapofariki katika ajali viungo vyake vya mwili vikatengana, utumbo ukatoka nje?
Maswali hayo yakanifanya nifunge safari mpaka Hospitali...
Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.
Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
Habari za muda huu wapendwa katika bwana. Naomba niseme hili kwa uchache tu.
Mabinti wengi wamekuwa moto mno na kujikuta wanangukia pua wakitangaziwa ndoa na hawa watoto wetu wa kiume wenye mikakati yao, bila kuchukua muda wa kumsoma na kumfahamu muoaji, mwisho wa siku wanatutesa wanandugu...
Nikifikiria jinsi Mzee wa mavieite alivyokuwa na madharau na jinsi alivyokuwa anawapiga mkwara viongozi waandamizi wa CCM lakini leo hii naye anapigwa mkwara na Chongolo nabaki kujisemea tu dunia inazunguka.
Vijana ishini na watu wote kwa heshima na adabu, hakuna aijuae kesho yake. Polepole...
England United Kingdom
Dresdane German
Habari wanajamvi natumai mu wazima wa afya.
Binafsi napenda utalii hasa utalii wa kihistoria kujua watu wa zamani na jamii zao waliishi vipi makazi, siasa, shughuli za kiuchumi nk.
Tukija sehemu yangu pendwa ya makazi navutiwa sana na architects...
Wakati nimefika AYA Sec 2007 Kondoa kuanza form 1 (boarding), niliibiwa suruali 3, mashuka 2, viatu, nk. Ilikuwa ndio 'Welcome Party' pale kila mwaka. Kuhamishiana vitu ilikuwa ni kawaida sana bwenini kwetu.
Nilipofika Form 2 nikaanza kujifunza hizo mishe na mimi. Nakumbuka nilijifunza...
Kuanzia Oktoba Mosi vitu ambavyo vipo katika orodha ya kulipa tozo zitaongezeka bei nchini #Kenya kutokana na ongezeko la tozo kwa asilimia 4.97
Mamlaka ya Mapato ya Kenya(KRA) imetangaza kuongeza tozo ili kufidia mfumko wa bei uliojitokeza mwaka wa fedha 2020/21
Vitu zinazotarajiwa kupanda...
Nilikutana na mhandisi kutoka Iran, amepata scholarship ya kusoma shahada ya uzamili Ulaya. Katka maongezi yetu nilimuuliza ni kwanini madaktari na wahandisi wengi wanatoka Iran, Syria Egypt nk?
Alinijibu kuwa katika jamii yao wamejengwa kufikia hapo. Yaani ukiwa na familia tangu watoto...
Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
Changamoto 10 zinazofanya Maisha ya Watanzania kuwa Magumu
1) Maji
2) Umeme
3) Barabara
4) Afya
5) Uongozi
6) Biashara
7) Katiba
8) Chakula
9) Ajira
10) Elimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.