Ni vipi kusaidia wengine kutaboresha maisha yako?

Mr Excel

JF-Expert Member
Jul 31, 2021
526
1,645
Faida tano zinazopatikana kwa kusaidia wengine wenye uhitaji.

1.Utakuwa na furaha zaidi

2.Hujenga mahusiano mazuri na urafiki katika jamii.

3.Inakujenga kuwa mvumilivu katika kupitia nyakati ngumu.

4.Kitendo cha kusaidia wengine ni kizuri kwa maendeleo yako binafsi.

5.Inaweza kufanikisha biashara zako kwa urahisi wa kupata wateja wengi.

Anza sasa kusaidia watu wanaokuzunguka kihali,Mali,mawazo na ushauri hakika utafanikiwa maradufu.
 
Nzuriii,
Japo ijulikane huo ni moyo wa mtu, sio suala la kuamua tuu...

Lakini pia ukianza fanya hivyo, basi usiangalie pembeni maana utakunata na changamoto nyingi sana...

Mf watu wasio na shukrani,
Changamoto za kiuchumi ambazo pengine wewe hakuna wa kukusaidia, Lawama unaposhindwa, Utasumbuliwa hata kwa wasio na shida bali tamaa.. n.k

Kwa ufupi hakuna namna ya kuwaridhisha binadamu....
Fanya kwa muumba wako, mapenzi na upendo.
 
Fact mkuu
 
Hao watu kwanini wao wasikusaidie wewe?
Msaada upo wa aina nyingi ndugu, sio lazima pesa. Kumsaidia mtu kimawazo, nasaha na kumfanyia mentorship pia ni msaada mkubwa sana. Kwa tafiti fupi ni kwamba kila mtu anahitaji msaada binafsi wa kimawazo, hisia, pesa, nk.
Hata ukiwa hauna kazi pia utahitaji msaada wa kupata kazi kulingana na ujuzi wako.
Principle of life is "give and take" hii inategemeana
 
Back
Top Bottom