Naombeni ushauri jinsi ya kuanza maisha ya kuwa single

Hutaki tena mume?
IMG_20210813_134531.jpg
 
Ni hatua tu katika maisha, si ajabu hasira ikiisha / kupungua ukamsamehe (mkasameheana) mkaanza upyaaaaaaa, na kwa kawaida ile show ya kwanza baada ya kusameheana huwa ni tamu sana
 
Mimi ni mdada na kazi yangu na maisha yangu, nimekuja kuomba ushauri jinsi ya kuweza kuishi single maana mchumba niliyekuwa naye ameniumiza.

Nataka nianze kuwa single, niishi vipi mpaka nimsahau kabisa na maisha yaendelee?
Tafuta plan B itakayokuondolea upweke.. Lakini isiwe vilevi.. Na jioni nenda kapoteze muda gym
 
Back
Top Bottom