maisha

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Changamoto mbalimbali za maisha ya ndoa. Hii ni changamoto inayonikabili, karibu na wewe utueleze yako tuzitatue

    Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke. Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto...
  2. Sky Eclat

    Maisha ya mwanadamu ni safari yenye vituo

    Safari ya mwanadamu inaanzia tumboni mwa mama yake. Hakuna anaeomba mama atakaemzaa, unajikuta uko kwenye familia. Inaweza kuwa duni au tajiri. Kituo cha kwanza cha maisha kinaanzia kwenye kuzaliwa. Unavyokua mkubwa, kuna wanaotaka kukufahamu vizuri, watauliza wewe ni mtoto wa nani? Wazazi...
  3. Maleven

    Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  4. Swahili AI

    Fahamu artificial intelligence (AI)

    Katika maisha yetu ya leo, kwa namna moja au nyingine tunatumia Artificial Intelligence- intellijensia ya kutengenezwa(Sijapata Kiswahili Fasaha, wana jamvi waweza saidia) kupitia vifaa vya kieletroniki kama simu, computer, luninga n.k. Artificial Intelligence (AI) ni nini? Mwaka 1956, mwana...
  5. Mzee Mwanakijiji

    Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  6. LIKUD

    Sababu za kiroho kwanini Tanzania ya Mama Samia itakuwa yenye neema kubwa sana kwa Watanzania

    SABABU NAMBA MOJA: Mama Samia Suluhu Hassan ni CHAGUO LA MUNGU moja kwa moja. Kwa lugha nyingine Mama Samia amechaguliwa na Mungu moja kwa moja kuwa Rais wa nchi hii. Namaanisha hivi urais wa Mama Samia is a result of a Divine/ Heavenly Decree. Mungu mwenyewe ndio...
  7. Komeo Lachuma

    Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

    Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani. Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana...
  8. C

    Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

    Habar zenu wadau, Nimetafakari sana leo juu ya vifo vya viongozi wetu vilivyotokea tangu mwaka jana. Asilimia kubwa ya viongozi wamekufa vifo vya ghafla. Wachache sana ambao waliugua muda mrefu lakini akili imenifanya nitafakuri juu ya huyu ndugu anaitwa Lowassa; aliyeonekana ni mdhaifu kuanzia...
  9. Nyankurungu2020

    Je, CCM ni chama kisichopenda Watanzania wawe na maisha bora? Tangu kitawale nchi hakuna mtawala aliyewaacha vizuri wananchi

    Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora. Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya sana ya kimaisha. Watu walivaaa masempele. Mahala pa kulala palikuwa hovyo kabisa. Awamu ya pili...
  10. Kibosho1

    Bei ya Hennessy 1 sawa na msingi wa biashara ya mtu

    Hii hapa Tanzania inauzwa Ml 2.5
  11. Wang Shu

    Hali ya maisha ya zamani ilisaidia kuwajenga vijana shupavu kuanza kupanga chumba na godoro la futi 3 chini.

    Tujikumbushe changamoto za kutanda.
  12. Prof Koboko

    Askari wetu acheni kucheza na maisha yenu. Hivi tahadhari dhidi ya COVID-19 iko wapi hapa?

    Hivi kweli hapa askari wangu hapa mnajiaminia nini ndugu zangu? Au mnafikiri mdudu naye mtampiga risasi? Kuna wakati tunatakiwa kutumia maarifa ikiwa tunayataka maisha marefu na tunatambua kua familia zinatutegemea.
  13. matunduizi

    Asilimia kubwa ya wanaozamia Dar kutafuta maisha wanafanikiwa

    Mama mmoja muuza mchicha Rafiki yangu aliwahi kuniambia. Jiji la Dar es Salaam halitaki mtu mvivu au mgonjwa. Ukishinda hapo huwezi kulala njaa. Kuna huyu Muha na yeye akaniambia alipofika DSM alianza kuishi kwenye karavati maeneo ya external hadi alipotoboa. Leo ananyumba Kubwa tu. DSM ndio...
  14. Mohamed Said

    Salim Himidi katika picha, katika mazungumzo

    SALIM HIMIDI KATIKA PICHA KATIKA MAZUNGUMZO Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea. Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu yote duniani yangetawaliwa na huzuni kwa misiba inayotufika. Picha ya mwanzo kushoto ni Salim...
  15. Nyankurungu2020

    Taifa la waliokata tamaa maisha, ila hakuna namna mpaka mitano ikatike

    Biashara za Wananchi zimekufa, Wafanyabiashara wengi wamekata tamaa. Mzunguko wa pesa umedumaa, masoko yamesimama. Watumishi wa Umma hawana uhakika juu ya nyongeza ya mishahara, miaka mitano wamepigwa kimya. Wakulima wanalima, wakivuna soko la ndani halina bei, wanaambulia kupata chakula cha...
  16. Beberu

    Kipi cha kufanya kwa kijana anayeanza maisha?

    Habari za muda huu watanzania wenzangu Kati ya 1.kufuga ng'ombe wa maziwa na kulima mazao ya bustani pemben yake eg.Hoho,chinese,pilipili etc (location ni pwani au Dar) 2.Kufanya uwakala wa mobile money mpesa,tigopesa etc 3.kufungua duka la dawa baridi za binadamu
  17. E

    Misukosuko ya maisha tunatoka nayo mbali sana

    Wakuu, kiukweli maisha yetu tunatoka nayo mbali sana, kuna kipindi unakua unapita katika njia ya maisha mpaka unahisi kama hiyo njia umepotea vile. Kiukweli siwezi kusahau pindi nikiwa kwenye hekaheka za kutafuta kazi nilipeleka barua yangu ya maombi ya kazi kwenye kampuni moja maarufu hapa...
  18. mwanzo wetu

    Ofisi za ngazi ya kata, Tarafa na, wilaya tabu sana

    Habari za wakati wakuu. Mimi nimejifunza jambo, Nimetembelea karbuni ofis nyingi apa nchini kuanza na ofis za Chini yaan kata,Tarafa, Wilaya, Mkoa mpaka zile za ngazi ya juu, nilichojifunza watu wanaoishi ktk ofis za Kuanzia kata, Tarafa, Wilaya Hawa watu hawpo charming kwa mteja wao ni watu...
  19. K

    Historia ya maisha yangu

    Habari za mida wana JamiiForums. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli. Kifupi nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita. Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa...
Back
Top Bottom