Unajua kwanini HUWA SIKUBALIANI NA KUOA KABISAAA...
Sababu ni hiii 👇👇
Mwaka 2015 nilikutana na binti wa kichaga Facebook.
Tulianza urafiki na baada ya muda mrefu tukaingia uchumba.
Nilimuahidi kumuoa na kuthibitisha hili nikawa close na familia yake.
Alikua anaishi na dada ake mjini Dsm...
Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku.
Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa.
Niliacha hii mikazi kipindi hicho napambana life baada ya braza mmoja aliyekuwa ameshika kazi, akishachukua mpunga kwa bosi basi...
Habari
Kitanda cha kizamani 4*6 mninga na godoro lake naviuza kwa pamoja elfu 70. Kipo Kigamboni mbele ya Kibada. Godoro halijachoka lipo safi.
Nimeambatanisha na picha. Mawasiliano 0622 426120.
Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa.
(Samahani mimi sio mwandishi mzuri wa story)
Kuna mwenzangu tulisoma naye O level, mimi niliendelea A level na yeye akaenda DIT kipindi hicho ikiitwa Dar Tech, hatukuonana miaka mingi sana na sikujua yupo wapi. Kwa bahati tu nikawa...
Habari za wakati huu,
Ningependa kufahamu kuhusu mji wa Tanga na gharama za maisha. Baadhi ya mambo ningependa kufahamu ni pamoja na maeneo mazuri ya kuishi kwa watu wa kipato cha chini au cha kati, Gharama za kupangisha nyumba, chumba. Gharama za chakula na malazi katika lodges na guest...
Kwenye uchumi ambao bei za bidhaa zinapanda kila uchwao, ili mtu uendelee ku survive na maisha, ni budi kipato kipande ili kupunguza ukali wa maisha. Hii kwa wachumi tunaiita 'Cost of living adjustment - COLA'.
Ndo maana utaona salary review zinapaswa kufanyika kila mwaka, na endapo kama...
Naamini Serikali ya CCM hasa ya bara itakuwa imenuna kwa taarifa za kiongozi mkubwa kama maalim kuumwa Corona kutoka public
Kwa saikolojia ya Rais Magufuli ambaye yeye hataki kabisa kusikia habari za athari za korona nchini zikisambaa, naamini kabisa kuwa atakuwa hajapendezwa na taarifa za...
Leo nimeenda kununua sabuni ya mche ya Jamaa, bei niliyoijua ni sh 2,000 kwa mche, kuanzia leo baadhi kila nilipofika nikajua nitapata kwa bei ya zamani nimeambiwa imepanda wanauza 2,200 hadi 2,400.
kati ya bidhaa ambazo wasio na uwezo huhitaji haswa ni Sabuni, Sukari, mafuta... vyote hivi...
Mheshimiwa Rais, wafanyakazi tunakuomba msamaha
FRIDAY JANUARY 29 2021
Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa heshima na taadhima, Mimi kijana wako naendelea kulitumikia taifa nikiwa kituo changu cha kazi hapa Mlimani, kuna jamaa wengine wanapaita Jalalani, ingawa silipendi kabisa hili jina...
Wafanyakazi wengi wa serikali wanaishi maisha artificial ndio maana wanaona mishahara haitoshi.
Unakuta mtu ana mshahara laki saba kakopa benki kanunua gari na zingine anajenga bonge la jumba.
Hela ikiingia benki wanakata anabaki na laki moja!!! Anaanza kuishi kwenye mzunguko wa madeni kopa...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana.
Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
Wakuu, poleni na Majukumu, naomba kujua kuhusu maisha ya Zanzibar, kuna rafiki yangu wa kike ameenda Zanzibar leo hii kutafuta maisha na hajui pa kufikia, nimemkataza lakini hakunisikia.
Naombeni mawazo yenu nini afanye huko niweze kumshauri huko aliko.
Asanteni.
Hakika hotuba aliyotoa jana Rais wetu Magufuli imeniacha na huzuni kubwa, kwa kuwa nilichobaini kutokana na hotuba hiyo ni kama maisha yetu watanzania wote, tumeyaweka rehani na kiyakabidhi mikononi mwa mtu mmoja, ambaye ndiye Rais wa nchi.
Katika hotuba hiyo tulimsikia Rais akikanusha vikali...
Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu?
Na. M. M. Mwanakijiji
Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu ambaye sijaegesha akili yangu mahali mwenyewe nikaondoka. Nimesoma na kufuatilia mijadala ya kile...
Inapokuja kwenye mafanikio, kila mtu ana maana yake.
Lakini kwa ujumla, mafanikio ni pale mtu anapokuwa bora zaidi ya alivyokuwa huko nyuma.
Kifedha kama ulikuwa na kipato kidogo na kikaongezeka, umefanikiwa.
Kimahusiano kama ulikuwa na hali ya kutokuelewana na wale wa karibu na ukaitatua...
Anaandika Comrade Malisa GJ.
Rafiki yangu mmoja kanitumia ujumbe "Malisa mbona huombi kura?" Ikabidi nimpigie kumuuliza kura za nini? Akaniambia za tuzo. Nikamuuliza tuzo zipi? Akaniambia umependekezwa kwenye tuzo ziitwazo Tanzania Inspiration Awards. Nikamwambia sina taarifa.
Akanitumia...
Za leo waungwana,
uzee sasa umepiga hodi na nguvu zimeanza kuniishia.
Maisha ya uzee yameshaniingia, ni vitu gani nifanye au niandae, ili nisikose mlo pamoja na majukumu mengine ya muhimu ndani ya nyumba wakati huu kabla sijakaa chini kutokana na kuishiwa kabisa nguvu ya kutafuta.
Asanteni...
Nina elimu kubwa tu na umri unasogea. Hela ya kujiajiri sina. Naombeni mnipe ushauri kati ya Macau na Singapore ni wapi kuzuri zaidi? Nimechagua hizi nchi kwa sababu ukiwa na passport ya Tanzania huhitaji viza kuingia.
Natanguliza shukrani zangu.
Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia zipi juu ya maisha yake!.
Hilo sijasoma mahali wala mada hii sijasoma mahali bali ni fikra zangu!,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.