cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,774
- 5,314
Habari ndugu jamaa na marafiki wa jukwaa hili.
Wengi mtashangaa kwanini kichwa cha habari kinasema ivo ni kwasabu nitaweka vitu vinavyonitokea au nitakavyo vifanya daily au kitakaponitokea chochote iwe ni cha kipuuzi au cha kuelemisha au cha kuchangamsha.
Tukio la kwanza : juzi bhana wakati niko tu home sina lakufanya nikasema ngoja leo nifanye usafi katika harakati za kufanya usafi nimeingia stoo kutoa makorokoro nikajikwaruza na msumali nikachukulia poa tu nikaendelea na harakati zangu za kumalizia usafi jioni nikapata vimafua flani ivi nikapiga maziwa lakini wapi ikabidi wakati wa kwenda kulala nikachukua vidawa flani ivi vya kumungunya sijui vinaitwaje lakini ukiweka mdomoni vina ladha kama ya visk ila vywenyewe ni rangi ya maji. Nilipewa na bi mkubwa sifaham alivitoa wapi ila vinatibu mafua kwa haraka sana.
Basi nikachukua kimoja nikamungunya kwenye harakati za kulala sasa sikumbuki kama nilimaliza kumung'unya maana nilipitiwa na usingi kustua ni asubuhi sasa sijui kama nilimaliza kumungunya au nilikiachaga humo mdomoni kijimung'unye sikumbuki.
Nimeamka asubuhi ya jana mdomo si uelewi elewi kwa ndani kwa juu kama vile kumekauka ivi sasa nikajiuliza ni kile kidawa nilichomung'unya jana nilikiacha mdomoni ndio kina niletea hii hali au ni kujichoma na msumali ndio tetenus imeniingia jibu sina.
Nimeshinda ivo ivo jana hali ya mwili siielewi elewi nasikia uvivu wa kula chakula natamani kula vitu ambavyo sio vya kutafuna sana. Sasa imebidi ni-Google madhara ya kujichoma na either vitu vyenye kutu nimeona ona vidalili dalili flani ivi lakini vyenyewe wanasema ndani ha siku mbili au sijui 7 ivi sikumbuki nikasema dooooh wasiwasi ndio akili leo sasa nimeamua nije hospitali kuchoma sindano ya tetenus maana isije ikawa ni tetenus ikanichukua wakati mi ni nguvu kazi ya taifa langu alaf bado hata robo ya nguvu kazi ya taifa sijaifanya alaf nina mrembo wangu (pisi kali) yangu itakayoniletea mapacha hapo mbeleni inshallah niiache ivi ivi nikasema hapana.
Sasa nimekuja hapa hospital nimewaeleza wamenifafanulia vizuri nimeelewa nimeshalipia kuchoma sindano ya tetenus kisanga kilichoacha nianze kuandika kiko hapa sasa.
Huyo mchomaji Mungu wangu sijawahi ona sindano inachomwa hivo. Angalau hata ile ya mama yetu anayeupiga mwingi ina afadhali huyu jamaa bora hata angekuwa mwanamke kidogo angekuwa na huruma shwain huyu kanichoma sindano utadhani anachoma ng'ombe mpuuuzi sana huyu kwanza cloves hana anapochoma, sindano alaf eeet ndugu zangu hata kama ni kwenye bega si lazima uchukue pamba uweke spirit kidogo kusugua sugua kidogo, aaaah ila huyu jamaa wala hakuwa na time iyo yakuchukua pamba wala hata hakuwa na time ya kunishika hapo anapochoma.
Labda, nikadhani, atakuwa ameogopa korona ila chakushangaza zaidi kanichoma sindano na mkono mmoja ikabidi nijiulize au mimi ni n'gombe alaf sijijui. Ikabidi nijicheki kwa kioo mara mbili mbili. Kwaiyo hicho ndicho kilichonitokea dakika chache hapa.
Waidhaaa asalam aleikum.