Natafuta mwenza wa kike wa maisha

Fsenior

Member
May 21, 2022
7
15
Mimi ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, ni mjasiriamali mdogo, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar dini ni mkristo.

Muonekano wangu ni mrefu kiasi, mwembamba kiasi na mweupe kiasi. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, asiwe na mtoto na awe Dar, awe mkristo na awe na elimu angalau kidato Cha 4, awe na shughuli halali ya kujiingizia kipato.

Kwa mwonekano asiwe mrefu au mfupi sana, asiwe mweupe/mweusi sana, asiwe mwembamba/mnene sana. Kwa aliye tayari aje DM
 
 
Mimi ni kijana wa miaka 35, Elimu yangu diploma ya biashara, sina mtoto na sijawahi kuoa, nipo Dar, kabila mchaga, najishughulisha na shughuli mdogo mdogo. Natafuta mwenza wa kike umri 28-31, awe na elimu angalau kidato Cha nne, asiwe na mtoto, awe anajishughulisha na shughuli yoyote halali, awe Dar na awe tayari kushirikiana pamoja katika kutafuta maisha maana mi mwenyewe bado najitafuta. Kwa aliye tayari aje DM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom