Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,021
- 1,608
Mashirika ya kibinadamu yameonya kuwa nchini Ethiopia, Kenya na Somalia, mtu mmoja hupoteza maisha kila baada ya sekunde 48 kutokana na njaa kali inayohusishwa na migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na kupanda kwa gharama ya chakula.
Kwa mujibu wa ripoti ya #Oxfam na #SavetheChildren inakadiria kuwa duniani kote, watu milioni 181 wanakabiliwa na njaa kwa mwaka 2022, huku wanawake wakiathirika zaidi.
Aidha, mashirika hayo yameikosoa jumuiya ya kimataifa kwa kuchelewa kukabiliana na janga hilo
Humanitarian organisations have warned that across Ethiopia, Kenya and Somalia, one person is dying every 48 seconds from acute hunger linked to conflict, the climate crisis and the rising cost of food.
A report by Oxfam and Save the Children estimates that around the world, 181 million people will experience crisis levels of hunger this year, with women particularly affected.
The organisations say starvation is a political failure.
They criticise the international community for responding too late and with too little to prevent "cyclical and predictable" emergencies.
Source: BBC