maisha

  1. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha Mapya

    Hii ni novela inayohusu suala la afya hususan uzingatiaji wa maambukizi ya UKIMWI kijamii. Ni wazi kuwa wadau wanaelewa jinsi ugonjwa huu ulivyoathiri taifa hasa tangu utangazwe kwa mara ya kwanza na hayati Rais Benjamini W. Mkapa, mwaka 2000. Inaonekana kama jamii hususan vijana hawazingatii...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raia katika Miji mitatu nchini Uganda waandamana kupinga Ongezeko la gharama za Maisha

    Polisi nchini Uganda wametumia mabomu ya machozi kuwatawanya raia walioandamana katika Miji Mitatu kupinga kupanda kwa bei ya mafuta na vyakula muhimu huku wakiwashikilia watu kadhaa. Maandamano hayo ni ya pili katika mwezi mmoja ambapo waandamanaji wamejitokeza barabarani katika Miji ya Jinja...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania MTWARA: Basi la Shule ya King David lapata ajali, watu 10 Wamefariki na wengine 19 Wakijeruhiwa baada ya gari 'kufeli breki'

    Kuna taarifa kuwa basi la Shule ya King David iliyoko Manispaa ya Mtwara Mikindani limepata ajali mbaya iliyopelekea vifo vya wanafunzi na dereva wa basi hilo aliyetambulika kwa jina moja Hassan anayekadiriwa kuwa na umri wa mika (54-60) Miili imehifadhiwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula na...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida Serikali kuwasaidia wananchi wake hali ya maisha inapokuwa ngumu

    Katika hii picha ni mabox ya Gumment Cheese yaliyogaiwa na serikali za Magharibi kwa wananfunzi ili wapeleke nyumbani kwao. Hii ilitokea baada ya WWII, hali ya uchumi ilikua ngumu sana. Pamoja na cheese pia wananchi wapigaiwa peanut butter, na nyama za makopo. Misaada hii ililegwa kwa...
  5. kwisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika maisha, nimejifunza kuwa mwanamke sio mtu wa kumuamini kabisa

    Ndugu zangu mimi mwenzenu kwa mara hii nahisi nimepigwa na radi kabisa sio tena kitu kizito. Kuna demu nilimtongoza kwa bahati nzuri demu huyo alinikubalia. Sasa ikawa ngumu kwetu kuongea kwa maana alikuwa hana simu mimi na mapenzi yangu ya kijinga nikajifanya kiherehere cha kumnunulia simu...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 500 waandamana Malaysia wakipinga gharama za maisha kuwa kubwa

    Zaidi ya watu 500 wamekusanyika na kuandamana wakilalamikia gharama za maisha kuwa kubwa Jijini Kuala Lumpur Nchini Malaysia yakihusisha wanasiasa vijana wa upinzani ambapo pia walipata nafasi ya kutoa hotuba. Sehemu ya madai ya waandamani ni kudhibiti ongezeko la bei za bidhaa, usalama wa...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Haji Manara arudie kazi yake ya udalali na kufundisha madrasa, maisha yatamuwia magumu

    Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaibuka Madagascar Wananchi walia hali ngumu ya maisha

    Maandamano makubwa yametokea katika Mji wa Antananarivo Nchini Madagascar yakihusisha mamia ya Wananchi ambao hoja yao kubwa ni maisha kuzidi kuwa magumu wakiilaumu Serikali ya Rais Andry Rajoelina kuhusu hali hiyo. Polisi wamelazimika kuingilia na kuwashikilia viongozi wawili wa juu wa Chama...
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Genius Hayati Magufuli Hakuongeza Mshahara ila Maisha yaliendana na Kipato

    Kuna ambaye bado anabisha tu kua Hayati JPM alikua ni Genius? Kwamba Hayati JPM alikua ni Mteule wa Mungu aloletwa Kuwainua Watanzania !!.? Watumishi wa Umma hao , walimu kama nawaona , Mapolisi kama nawaona ( Hawa watu wawili Wana Maisha ya tabu sana ) Lakini ndio wa kwanza kuimba nyimbo...
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Habari humu ndani.... Waungwana mimi ni mwanamke wa kiuslam natafuta mwenza wa maisha . Ningependa awe muislam pia umri kuanzia miaka 35 hadi 50. Akiwa Mwanajeshi au Engineer itakuwa vizuri zaidi. Nami ni muajiriwa Serikalini....
  11. M

    JamiiForums Tanzania HAJI MANARA: Yote maisha, nimezamishwa kuna siku nitainuka, ninachoshukuru ninajua kuogelea!

  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia fanya hili ili ukali wa gharama za maisha uwe historia Tanzania

    Tanzania tuna hifadhi ya gesi iliyofikia ujazo wa Trilion 57 cubic f. Kwa mujibu wa hotuba ya Rais wakati wa kusaini mkataba wa kwanza wa uwekezaji wa Gesi baina ya Serikali na wawekezaji kuna vitalu takribani 28 vya gesi bado havijafanyiwa utafiti jambo ambalo endapo litafanyika linaweza...
  13. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Serikali iiangalie TEMESA-kuna uzembe utakaokuja kugharimu maisha kwa watumiaji wa vivuko

    Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni. Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamjibu vipi Ex wako anayetaka mrudiane baada ya wewe kuyapatia maisha?

    Utakuta mdada ulikuwa ukimpenda sana na kumtimizia mahitaji yake kadri ya uwezo wako lakini ghafla huyo keshakugaya anakwenda kujishikiza kwa kamsela kimbaumbau kisa kanamiliki visilver vya kubadilishia mboga. Eti leo maisha yameninyookea uanze kunitumia vitext vya kuomba turudiane, nitakujibu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumudu furaha katika maisha

    KATIKA MAISHA ILI UWE NA FURAHA LAZIMA UTAMBUE: *Katika kupoteza, Kuna kujifunza. Chukulia kwako ni funzo Songa mbelee... *Katika kushindwa, Kuna fursa. Ukishindwa hapa, ni fursa ya kuanzisha safari nyingne, we Songa mbelee... *Na hakuna tatizo lisilo na majibu. Tafuta chanzo, na jua udhaifu...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

    Ndugu zangu wafanya mazoezi pembezoni mwa barabara. Chukueni tahadhari hususani wakati wa alfajiri na jioni/usiku. Nimepoteza rafiki wawili (mmoja Dar mwingine Mtwara) kwa ajali wakiwa mazoezini. Wameacha familia changa mno. Wakati mzuri wa kufanya mazoezi ya kukimbia huwa ni asubuhi au...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Pitio la Kitabu Cha Khamis Abdulla Ameir: Maisha Yangu Miaka Minane Ndani ya Baraza la Mapinduzi Khaini au Mhanga wa Mapinduzi?

    ''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua katika yale atakayofanya.''
  18. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ukali wa maisha upo lakini sio kwa Tanzania peke yake"- Dkt. Anthony Diallo

    Nimemsikiliza Dk. Antony Dialo akizungumzia ugumu wa maisha kuwa na kufanya uchambuzi wake msikilize hapa:
  19. H

    JamiiForums Tanzania Tunapoteza muda mwingi darasani kusoma vitu ambavyo havina msaada na maisha yetu

    Kwa takriban miongo sita (6) nchini Tanzania tunazidi kuwa Wimbi la ajira kwa vijana wanaotoka mashuleni kwa sababu ya kile tunachofundishwa darasani. Kwa sababu, tunafundishwa masomo ya kukariri na kwenda kujibia mtihani, kitu ambacho baada ya kufaulu ndipo unapoonekana ulielewa darasani ama...
  20. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ila haya maisha wakati mwingine yanaweza kukufanya utamani kujiua

    Huyo jamaa hapo chini anaitwa Robin Ernest kimambo.ni class mate wangu pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Leo wakati mimi bado nawaza ni lini utumishi watatoa majina ya written interview nikagombanie salary ya TGS D ambayo ni sawa na shillings 710,000/=, huyu class mate wangu kateuliwa na...
Back
Top Bottom