Maisha ni kujiamini, utawezaje kujiamini?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,891
Anaandika, Robert Heriel

Kujiamini hakuji hivihivi, upo mchakato na vigezo maalumu ambavyo mtu sharti atimize ili aweze kujiamini. Kuna kujiamini na kuvurugwa na maisha, wengine wanashindwa kutofautisha hayo mambo.

Ili ujiamini itakupasa uwe na mambo haya;

1. Akili, maarifa, Ujuzi, ufahamu
Mtu Kama Hana mambo hayo alafu akisema anajiamini ujue ni mwehu, au kavurugwa na maisha.
Huwezi kujiamini kama hauna akili, maarifa, Ujuzi na ufahamu. Ndio maana wazazi makini kitu cha Kwanza wanachomjengea mtoto baada ya heshima na Adabu ni Akili, Ujuzi, maarifa, na ufahamu. Mambo hayo ndio humfanya mtu aishi vizuri Kwa kujiamini.

Mzazi itampasa amfundishe, ampe Ujuzi na maarifa mtoto kazi za uzalishaji, mtoto apate Ujuzi utakaomsaidia maishani mwake. Mwalimu wa Kwanza wa mtoto ni mzazi. Weka akilini hii; Mwalimu wa shuleni hawezi kumfundisha mtoto wako kazi isipokuwa atamfundisha Ajira. Mzazi ndiye anayemfundisha mtoto Kazi/kujitegemea.

2. Elimu ya Kiroho
Mtu yeyote asiye na elimu ya kiroho Hana tofauti na mnyama. Ni jukumu la lazima Kwa mzazi kumfundisha mtoto wake habari za Mungu. Mtu hawezi kujiamini kama hamjui Mungu. Haijawahi kutokea na kamwe haitokuja kutokea. Ukiona mtu anasema anajiamini lakini hajui hata mambo ya Imani na Dini zake jua huyo anajidanganya na amevurugwa tuu.

Baba na Mama ndio wanaotakiwa kujenga msingi wa Imani ya mtoto, ili kumfanya ajiamini katika maisha yake. Mtu aliyefundishwa vya kutosha habari za kiroho kamwe hawezibabaishwa na Maisha.

3. KAZI
Ili mtu ajiamini itampasa awe na kazi inayoendesha maisha yake na watu wanaomhusu. Mke na Mume wote lazima wawe na kazi Kwa kugawana majukumu ili kuhakikisha familia inakuwa Comfortable na kujiamini. Uliwahi kusikia mtu anadharau kazi yake? Uliwahi sikia mtu haipendi Kazi yake na hajivunii nayo? Basi mtu wa namna hiyo jua amekosa sifa za hapo juu. Yaani ana kazi lakini Hana Akili na ufahamu, na pia hana elimu ya kiroho. Mtu anayemjua Mungu na aliyetimia kiakili kamwe hawezi kudharau kazi yake hata Kama inamlipa kipato kidogo.

Taikon huwaga ninashauri kuwa kila mtu afanye kazi, asiwepo mtu wa kumtegemea mwenzake ili kuondoa umungu mtu. Kama itatokea mmoja hafanyi kazi basi lazima iwe Kwa sababu maalumu, kama:

i. Ugonjwa
Kama mmoja anaumwa basi itabidi apumzike.

ii. Uzazi na Kulea watoto
Mama anayohaki ya kupumzika siku za uzazi bila ya kufanya kazi. Na kipindi akiwa analea mtoto. Kwa waliojiajiri mama/Mkeo anaweza kukaa nyumbani Kulea watoto mpaka wafikishe walau umri wa miaka mitatu mpaka mitano. Kama uchumi wenu unaruhusu basi mtoto akifikisha miaka miwili mnaweza ajiri Housekeeper au Housemaid

iii. Kuuguza
Kwa watu waliojiajiri. Hasa Mtu nyeti Kama mtoto au mzazi, lakini ni vizuri mkaanzisha biashara zinazoweza kufanyikia hata hapo nyumbani, Kama kuuza genge, Mkaa, maziwa mgando au fresh, au kazi zote za Online Mtandaoni.

Kazi ndio kipengele nyeti katika Utu wa binadamu kinachoweza kujenga au kubomoa mahusiano ya binadamu. Kwenye kazi ndipo watu hupata Riziki zao. Na kwenye Riziki ndipo yalipo mafanikio. Kumbuka kazi bila akili na elimu ya kiroho inaweza mfanya mtu amnyanyase mwenza wake asiye na kazi. Mtu hawezi kujiamini kama Hana kazi dunia ingalipo.

4. Kujikubali
Mtu ili ajikubali itampasa awe na Akili, maarifa, ufahamu, Ujuzi na elimu. Pia itampasa awe na elimu Kiroho, pia itampasa awe na kazi. Huwezi kujiamini kama unataka uwe kama mtu mwingine, never ever!
Lazima ukubali vile ulivyoumbwa.
  • Maumbile yako (rangi, kimo, muonekano, jinsia n.k)
  • Akili yako
  • Sauti yako n.k
Kisaikolojia Mtu anayejiremba Sana ni kwamba hajiamini. Ndio maana wanaume Sisi hatujirembi na tunajiamini wakati wanawake wao licha ya uzuri wao lakini wengi wao bila urembo hawajiamini.
Hata hivyo hata hao wanawake wapo wanawake wachache ambao wanajiamini na kujikubali vile walivyo bila ya kuji-edit/kujiremba.

Pia wapo wanaume wachache nao bila ya urembo hawezi kupita barabarani, yaani hawajiamini.

Kujikubali inachochea kutumia Rasilimali ulizonazo. Kutumia maumbile na akili yako kupata riziki na kuhudumia watu.

Mfano, wapo watu wenye Sura personal, Sura za kazi, hawa wanatakiwa kujikubali katika Maeneo Yao ya kazi Kwa mfano jeshini, kazi za mamlaka kama Viongozi wa kitaifa, kazi za nguvu n.k hiyo itawafanya wapendwe kulingana na kazi zao. Lakini Sura za kazi na miili mikubwa wakijiingiza katika sekta kama za Kupendeza au kutaka kupendwa na wanawake hiyo itawafanya wagharamike zaidi.

Mtupi ajikubali Kwa ufupi wake na afanye kazi za watu wafupi, halikadhalika mrefu. Mwanamke ajikubali yeye ni mwanamke na afanye kazi za wanawake, halikadhalika na Kwa Sisi wanaume.

Huwezi fanya kazi au mambo yasiyo ya Asili yako alafu ukajiamini, never ever! Zaidi Sana ukijitutumua utaona watu wanakudharau na hawakuheshimu. Nature ndio iko hivyo.

Zama za leo unakuta Kijana anafanya kazi au matendo ya kike Kama kutikisa makalio, au kujipodoa, au kuigiza kama Mwanamke, alafu anategemea watu wamheshimu, never ever! Wengine watasema anajiamini, noop! Huko sio kujiamini huko ni kuvurugwa.

Mfano, Mwanamke kuwa Mtawala, yaani hiyo hata dunia ipinduke bado atachukuliwa kama Mwanamke tuu. Na Oda zake haziwezi chukuliwa Serious ukilinganisha na Kama angekuwa mwanaume. Siku zote hawezi akajiamini ingawaje atajitahidi kuonyesha anajiamini. Hata hivyo waliokaribu yake ndio watahakikisha kuwa watu wanamheshimu.

Sisemi wanawake wasiwe viongozi au watawala, Ila najaribu Kueleza kuwa Nature haiwatambui kama Watawala. Hivyo mwanamke yeyote anapotaka utawala Ajue kabisa changamoto moja kubwa atakayokutana nayo ni kutoheshimika kama ambavyo angeheshimika mwanaume.

5. Mali na Rasilimali
Ili mtu ajiamini itampasa awe na Mali na Rasilimali.
  • awe na watu ambao wapo kwaajili yake. (Mke Mzuri na wàtoto pamoja na ndugu jamaa na marafiki ambao ndio watampigania Kwa lolote)
  • Awe na Mashamba, nyumba, viwanja,
  • awe na mifugo
  • Awe na Akiba
  • awe na vyombo vya usafiri Kama magari,
Mtu yeyote anayekuambia anajiamini alafu Hana Mali wala Hana Rasilimali ujue kavurugwa au kachanganyikiwa.
Na ili upate Mali na Rasilimali basi itakupasa uzingatie mambo ya juu niliyokwisha kuyataja.

6. Awe ana uwezo wa kumfikisha mwenza wake mshindo
Mwanaume yeyote ili ajiamini itampasa awe na nguvu za kutosha za kumfikisha mwenza wake mshindo. Awe Rijali. Na ili uwe Rijali basi itakupasa uwe na yote niliyoyataja hapo juu. Hakuna mwanaume anayeweza kujiamini kama anapiga kibao kimoja cha sekunde mbili alafu Chali miguu juu. Huyo bado hajazaliwa. Mwanaume tafsiri yake ni Nguvu, sasa kama huna nguvu za kiume naturally na automatically huwezi kujiamini.

Na huwezi kuwa na nguvu za kiume Kama huna niliyoyataja hapo juu, Kwa kukumbusha, huwezi kuwa na nguvu za kiume Kama:
  • Huna akili, Ujuzi, maarifa, ufahamu na elimu
  • Kama huna elimu ya kiroho
  • Kama huna Kazi huwezi kuwa na nguvu za kiume
  • Kama hujikubali vile ulivyo maumbile yako.
  • Kama huna Mali na Rasilimali
Ukisikia mtu anakosa nguvu za kiume ujue kakosa moja ya mambo hayo hapo juu. Utakuwaje na nguvu za kiume wakati unadaiwa Kodi, haujala, Ada za watoto zinakusumbua, huna kazi.

Weka akilini, mwanaume amepewa Akili zaidi kuliko mwanamke kusudi aweze kutawala na kuongoza, kuhudumia, na kuilinda Familia yake.

Wakati mwanamke amepewa Akili ya chini ya mwanaume Kwa ajili ya kumfurahisha na kumburudisha mume wake (anayetimiza majukumu yake).

Nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es Salaam
 
Sawa Jomba tumekuskia
 
Back
Top Bottom