Nchi 10 za Afrika zenye viwango bora vya maisha vya kidijitali

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,365
8,097
Hizi ndizo nchi kumi za Kiafrika zilizo na kiwango cha juu zaidi cha ubora wa maisha ya kidijitali kwa mujibu wa Surf Shark, na ndizo nchi pekee za Kiafrika katika 100 bora duniani isipokuwa Uganda na Ivory Coast, ambazo ziliingia katika nafasi ya 98 na 100 mtawalia

Afrika Kusini: Ikikadiriwa kuwa nchi ya 66 duniani na ya 1 barani Afrika

Mauritius: Iko nafasi ya 2 na iko katika nafasi ya 68 duniani

Morocco: Hii ni nchi ya 77 duniani na ya 3 barani Afrika

Tunisia: Taifa la Afrika Kaskazini limeshika nafasi ya 4 barani Afrika na 77 duniani.

Kenya: Iko nafasi ya 78 duniani na ya 5 barani Afrika

Misri: Kutka Afrika Kaskazini iko nafasi ya 85 duniani, ikishika nafasi ya 6 barani Afrika

Nigeria: Iko nafasi ya 86 duniani na ya 7 barani Afrika

Ghana: Inashika nafasi ya 88 duniani na ya 8 barani Afrika.

Algeria: Ni nchi ya 9 barani Afrika, ikishika nafasi ya 92 duniani

Senegal: Ni nchi ya 10 barani Afrika na ya 95 duniani.
 
sisi sijajiona hapo
 
Au ndio umefanya ile mwalim kagawa mitian yote alafu kabaki na wangu
GUMZO
 
Vipi huko ulipo pata hizo abari za uchambuzi wa hizo nchi vipi Tanzania ujaionako hatakama ikibluza mkia jamaa
 
Back
Top Bottom