Egypt and Niger, aise sijawahi kukutana na hili katika maisha yangu ya soka

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
6,324
5,934
Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0

Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
Screenshot_20220923-231947_FotMob.jpg
 
Hakuna kitu kama hicho kwa sababu Niger wamegusa mpira wa kuanzisha na kila goli walianzisha wao mpira kwa hiyo kusema Egypt 100% maana yake Niger hakuna aliyegusa mpira
 
Hakuna kitu kama hicho kwa sababu Niger wamegusa mpira wa kuanzisha na kila goli walianzisha wao mpira kwa hiyo kusema Egypt 100% maana yake Niger hakuna aliyegusa mpira

Kweli kabisa, sasa hizo asilimia sijazielewa
 
Ukisoma hizo data utajua tu wamekosea, accurate passes ni 2 tu halafu hao ndio wana 100% ya afpss success 😂 ina maana toka mpirabuanze zimepigwa pasi mbili tu😂
 
Kitu kidogo kama hicho unashindwa kuelewa kama ni uongo.

Pass success%=accurate passess/total passess

Kwa takwimu hizo maana yake Egypt alipiga jumla ya pass 2 na zilizofanikiwa pass 2, kitu ambacho ni uongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom