maisha

  1. kwisha

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

    Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida. Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba halafu kaa kimya. Usichat naye wala...
  2. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na uwezo wa kutunza siri zako, kama huna siri elewa huna maisha

    Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF. Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote jiepushe na mafundisho yasiyokuwa ya ki-MUNGU. Siri ni mipango iliyo ndani ya moyo wa mtu juu ya hatima...
  3. Jugado

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Habari. Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo; 1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB. 2. Kazi nimeanza tangu 2012...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ndoto zinavyoyasumbua maisha yangu, Nifanye nini?

    Nikipata muda naweza andika historia ya maisha yangu kwa kirefu, Kwa sasa naomba nieleze kwa ufupi. Nilipokuwa kama darasa la tatu au la nne hivi nilikuwa nalala na kaka nyumba ya pembeni kama mnavyojua nyumba za vijijini basi tulilima alizeti tukavuna kidogo tukawa tumeiweka pembeni ya nyumba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tunataka Katiba ya kutuondoa utumwani ili tuanze maisha mapya ya uhuru

    Kazi ya kuandika katiba inapaswa kupewa umuhimu wa juu kwani ni tendo takatifu linalotupeleka kwenye maisha mapya ya uhuru wetu. Taifa letu bado liko katika mfumo wa kikoloni lakini mkoloni wa sasa ni mweusi sio kama wale weupe wa zamani. Viongozi wa kwanza wa taifa letu ndio waliamua...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mtu anaemubagua Mtu mwingine Kisa haamini katika Dini za Leo, huyo Mtu hajayaelewa Maisha hata Kidogo

    Currently watu wanaosali hizi dini za sasa hivi Ukristo&Uislam wanawaona Wasioamini katika hizi dini kama wasiojielewa hivi kama wakosefu na siku ya Mwisho wataenda Jehanamu. Ila ukijiuliza swali jepesi tu hizi Dini zimekuja kipindi gani? Ukilipita Jibu kua zimekuja Wakati wa Maandalizi ya...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kusimulia maisha ya mahusiano ya zamani kwa mwenzi wako?

    Imekuwa kawaida kwa couple mpya kusimuliana mahusiano yao ya zamani ikawa kama ni njia ya kujitetea na kujiweka sehemu salama zaidi kwa kuwaonesha waliokuwa nao ndio wabaya . je hili litasaidia chochote kwa couple hiyo mpya?
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maisha ya chuo yapo hivi

    Ukifika chuo ishi Maisha yako hata Kama watu watakuonaje we ishi Maisha yako tu Hilo boom unabidi ulitumie vizuri ili ukitoka chuo utoke na mtaji. Ajira hamna sasa hivi hivyo unabidi kujitenga na starehe za kipumbavu ukiwa chuo hasa nyie mnaotoka vijijini na kuja katika miji mikubwa mnakuaga...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Sio lazima useme kwamba ulisota sana kwenye maisha ili kutu-motivate

    Kwenye ahadi za mwanaCCM kuna ila inayosema, fitina kwangu mwiko na nitakuwa mkweli daima. Nikiwa kama mwanaCCM mwenye kadi iliyolipiwa ada nakataa kabisa mambo ya kinafiki na kudanganyana. Miaka ya hivi karibuni kumejitokeza watu wengi sana wahamasishaji wa mafanikio (Motivational Speakers)...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Nkasi: Jela maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka saba

    Mahakama ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha maisha jela mfanyabiashara wa mjini Namanyere, Athanas Exavery (32) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka saba. Akitoa hukumu hiyo leo Alhamisi Oktoba 20, 2022 Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi wa mahakama...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Marafiki wa kiume hatuambiani tunapendana kama wanawake lakini maisha yetu tunayoishi ndio kielezo tosha

    Ni nadra sana kukuta mwanaume anamwambia mwenzako kwamba anamjali. Ukiwa na shida utapewa msaada kwa utani au kadhihaka fulani hivi, Kwa nje ni kama huwa hatutaki kusaidiana ama kujaliana lakini kwenye mioyo yetu kwa ndani huwa tunamaanisha. kwenye kuomba tu msaada Kuna kaujeri kidogo...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee anamaliza kwa vitimbi sana maisha yake akiwa ikulu!

    Pascal Mayalla ... hii uliwahi kukutana nayo kweli ?
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa ndugu zetu KE hawawezi toboa maisha pasipo kupata "Tag" kutoka kwa ME?

    Inakuwaje wote Mungu katupa akili sawa, ghafla kuna mtu anaamua kutamani kufugwa na kuwa chini ya uthibiti wa mtu mwingine? Yaani ikitokea mwanamke kaolewa na mtu wa chini sana, na huyo mtu wa chini akishindwa kutoboa ndiyo imetoka hiyo. Soluhisho ni kuuza K tu. Na wengi wao wanauza K hadi...
  15. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Mwanzo mgumu

    Mwanzo ukianza au siku ya kwanza kufanya inauma sanaaa ila siku ya pili utafanya tena pamoja na maumivu ya awali na utagundua siku ya pili maumivu sio kama ya awali, kisha maumivu yatapungua na yatapotea kabisa halaf utaanza kusikia rahaa, mara utakuwa mzoefu na maisha yataenda. Kila kitu...
  16. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
  17. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Kulaumu ndiyo suluhisho ya matatizo yako?

    Kulaumu ndiyo suluhisho ya matatizo yako? Au kifichio cha kutokufanikiwa katika mambo yako? Acha kulaumu ndugu yangu acha lawama, acha kuwalaumu wazazi wako kwakila kitu unachokipitia, kuna mtu humu akipata ugumu au changamoto kidogo tu, baba angenifanyia hivi nisingekuwa na maisha haya au...
  18. True Man11

    JamiiForums Tanzania Mwenza wa Maisha

    Habari za Jioni ndugu zangu wote! Nimekuja na ID mpya kwa sababu nayotumia nadhani imekuwa maarufu sana hapa na ni ya siku nyingi. Naanza maisha mapya sasa, nimeshaamua na nimeshamaliza ujana nina miaka 34 sasa, nina mtoto wa kiume miaka 9 sasa, nimekuwa na uzoefu wa familia sababu mimi ni...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu wa hisabati jela maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Rufani imebariki kifungo cha maisha alichohukumiwa mwalimu wa Shule ya Msingi Chomvu iliyopo Wilaya ya Mwanga, Elibariki Mchomvu kwa kulawiti mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa. Mchomvu, aliyekuwa akifundisha hisabati, alipatikana na hatia kwa mara ya kwanza mwaka...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vitu vinavyokupotezea muda sana katika maisha yako

    Hivi ndivyo vitu vinavyokupotezea muda sana katika maisha yako. Kwa kawaida binadamu tumepewa saa 24 tu kwa siku. Huu ni muda ambao kila binadamu amepewa kuutumia kwa kadri anavyotaka. Kwa wale wanaotumia muda huu vizuri wa saa 24 kwa siku matokeo makubwa ya maisha yao huonekana, lakini kwa...
Back
Top Bottom