Matukio gani ya aibu ulishawahi kuyafanya au kukutokea katika maisha yako?

mike2k

JF-Expert Member
May 12, 2016
1,458
3,128
Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika maisha yangu.

1. 2015 nikiwa nasoma kidato cha tano kuna dogo wa Olevel nilimtongoza akaingia kingi, Jumamosi ikapaswa nimpeleke gesti. Ilipofika Jumamosi yule dogo nikampeleka gesti wakati tukiwa tunamsubiria mhudumu. Kumbe pale gesti kuna ukumbi na kuna mwalimu anafunga harusi kwa hiyo kamati ya harusi ya huyo mwalimu ilikuwa inafanyikia pale (kumbuka tumetoroka shule).

Nikiwa pale nashngaa watumishi wa shule wanakuja mmoja mmoja. Mmh, nikaanza kuguna hii mbona hatari? Sikujali, nikamchukua dogo nikamwingiza chumbani, huku nje kikao cha waoimu kinaendelea. Tukiwa chumbani yule dogo kumbe bikra, sikujipanga niling'ang'ana sana kumtia lakini nikashindwa. Jion tukarudi zetu bwenini nikiwa nimefeli.

Baada ya wiki mbili kupita nikaitwa ofisini, nimefika ofisini nashangaa walimu wanacheka tu. Ndiyo walimu wakaniambia kuhusu hilo tukio na kumbe yule binti aliitwa na akasema ni kweli ila sikuweza kumtia. Nikaambiwa niandike barua na ile barua sikuandika. Ila ile habari ilisambaa shule nzima ikaniachaa na aibu sana.

2. 2017 nikiwa chuo nikapata msichana wa Kihaya. Huyu binti sijui ilikuwaje ila kuna muda nilikuwa nampenda na kuna muda nilikuwa simtaki. Sasa kipindi nikiwa simtaki akawa na jamaa mwingine, kipindi namtaka yule jamaa mwingine akamzingua nikiwepo.

Kwa akili yangu ya kijinga nikamwambia jamaa tuweke kikao tusuluhishe. Mimi kwa wenge langu nikavuta bangi yangu kabla ya kikao, kweli wahuni kibao tukamtimbia jamaa kikawa kikao kikubwa.

Jamaa akasema msichana ni wake, akataja na huduma anazopatiwa. Na mimi nikasema ni wangu nikataja na huduma ninazopatiwa. Tukabishana sana mbele ya bweni zima. Mwisho wa siku kesi nikashinda sababu msichana alikuwa chumbani kwangu wakati kikao kinaendelea.

Hili tukio lilinitia aibu kwasababu baada ya kuja kuvurugana na huyu binti ndo niligundua alikuwa malaya "Pro max" na wahuni walikuwa wanamtia bila akili nzuri, huku mimi sijui chochote kumbe walikuwa wananichora tu.

Je, wewe mwana MMU unatukio gani la aibu ambalo huwezi kulisahau katika maisha yako?
 
tumbo la kuharisha ni hatari sana linakudhalilisha muda wwte...
Way back nipo chuo nikajichanganya na wana nikaenda kula nyama choma pori za mitaani huko sasa muda tunarudi ile nakaribia chuo tu hivi nikasikia muungurumo wa kishindo sana tumboni aaaah nikajisemea hapa hakuna dalili nzuri isee niliongeza speed kuelekea bwenini ile kuingia toilet ngoma inagonga hodi teyari hamad nacheki maji hakuna iseee nilishindwa kuvumilia jamani niliendesha sana alafu kinyesi kile kilikuwa na harufu kali sana sijui walitulisha nyama ya fisi wale wanakijiji..

yaani nilifunga bweni hakuna anayetoka wala kuingia kwa harufu ile...
Isee nilitumi boxer kumalizia haja zangu ubaya wangu ni kuwa siwezi kuacha sehemu ninayojisaidia bila kusafisha niliomba msaada na baadae km dkika 20 nikasaidiwa maji walienda kufuata ya kununua nikasafisha fresh na sabuni ya unga boxer niliichoma moto kabisa mambo yakawa sawa ila nilijisikia aibu sana.
Toka siku hiyo hadi wa leo na ukubwa wangu huu sili chakula cha njiani kabisaaaa.
 
Back
Top Bottom