Mwanamke jela maisha kwa kumbaka mtoto wa kiume

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
572
2,548
Mahakama ya Rufani Tanzania imebariki kifungo cha maisha jela alichohukumiwa mwanamke mkazi wa Morogoro mjini, Shani Suleiman (35) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 12.

Ushahidi unaonyesha mwanamke huyo alikamatwa baada ya mama mzazi wa mtoto huyo, akiwa na rafiki yake, kuandaa mtego katika nyumba ya mwanamke huyo ambapo walirekodi tukio hilo kwa kutumia simu janja.

Hii ni baada ya mtoto kumweleza mama yake kuwa mama Shani, maarudu kama Mama Shafii amekuwa akimwambia amwingilie mara kwa mara na wakati mwingine kinyume cha maumbile na mchezo huo aliufanya kwa miaka mitatu hadi mwaka 2019.

Chanzo: Mwananchi
 
Watoto wakiume wakibakwa huwa hawasemi kwakuwa na wao wanafurahia na hawaumii.

Mimi kuna mvulana wa shule ya msingi alikuwa ananiambia rafiki ya mama yake alimchukua hadi chumbani kwake akampa fedha ya kutosha akamvulia ngua na kijana akachangamkia mzigo.

Toka hapo akiona hana pesa anaenda na mchezo unaendelea.
Alinihadithia live kabisa kama rafiki yake.

Niliamua kuacha tu kwakuwa kijana alisema yeye pia anapenda na pesa anapata, za kumsaidia kutatua shida zake.

Pia sikutaka kumwingiza huyo dada kwanye vifungo vya jera hali ya kuwa
Kulikuwa hakuna uvunjifu wa amani kati yao.
 
Siungi mkono ila naona kuna ukakasi.

Kubaka maana yake ni kumwingilia mtu kimwili bila ridhaa yake, siyo?

Kwa mwanaume Ili umwingilie mwanamke kimwili ni uwezo wako tu kusimamisha, hapo asili itaruhusu mwingiliano hata kama mwanamke hakuridhia.

Tuendelee taratibu
° Mwanamume akiamua anaweza kufanya mapenzi na mwanamke hata kama mwanamke huyo hakuridhia (ubakaji).

° Mwanamke yeyote kwa maamuzi yake hawezi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote kwa namna yoyote kama mwanaume husika hakuridhia.

Maumbile ya asili hayamruhusu mwanaume kufanya mapenzi kwa kulazimishwa bila yeye kuridhia kwanza. It means dogo aliridhia kwanza ndio akafanya. Naona kama tafsiri ya ubakaji inakosa mashiko.

Vipi hii hatuwezi kuiita kwa jina lingie lakini sio mwanamke kabaka?
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom