RIPOTI: Tanzania ni kati ya nchi zenye maisha duni ya Kidijitali duniani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,363
8,096
Ripoti ya Ubora wa Maisha ya Dijiti ya 2022, iliyotolewa na kampuni ya Surfshark ya Uholanzi, imeonesha raia wa DRC wana hali mbaya zaidi kidijitali, kati ya nchi 117 zilizofanyiwa utafiti, huku Tanzania ikishika nafasi ya 107.

Sababu zilizotajwa kuchangia hali hiyo ni Kasi Ndogo ya Mtandao, Gharama Kubwa za Intaneti, Usalama na Sera za Nchi, Upatikanaji wa Huduma za Uhakika na Ubora wa Miundombinu ya Kielektroniki.

Kenya imeibuka kinara kwa uafadhali kwa nchi za Afrika Mashariki huku ikiwa nafasi ya 78 duniani, Uganda nafasi ya pili katika ukanda na ya 98 duniani.

===========================

The Democratic Republic of Congo (DRC) and Tanzania are among the countries with the worst digital quality of life globally, occasioned by slow internet speed, high costs of internet, and other factors.

The 2022 Digital Quality of Life Index, produced by Dutch network company Surfshark, reveals that DRC citizens have the least digital wellbeing, out of the 117 countries surveyed, with Tanzania ranking 107.

The index measures the quality or speed and affordability of internet in the countries along with the availability and strength of electronic infrastructure, security, and government.

Kenya was ranked the highest in East Africa, but 78th globally, with Uganda coming second in the region and 98th globally. There was no data on Rwanda, Burundi, and South Sudan.

DRC came last, particularly in electronic infrastructure which assesses how developed and inclusive a country’s digital infrastructure is; and in electronic government that assesses how advanced and digitised the government services are.

Kinshasa also came last in electronic security, which measures how safe and protected people feel while in the digital space in the country. Uganda was ranked to have the second least affordable internet globally.

According to the Surfshark report, electronic infrastructure and government are the leading determinants of citizens’ digital well-being, as many countries that ranked low in these also ranked low in the overall index 92 percent of the time.

Internet affordability and quality are the least important factors of the quality of life, the report says.

THE CITIZEN
 
Kuna kipindi tuliambiwa ooh tunatengeneza mkongo wa taifa sijui Internet intakua na spidi ya kufa mtu na kwa bei nafuu , sijui hata iliishia wapi ,
Nchi yetu Ina viongozi Wa hovyo na waongo waongo tu
 
Kuna kipindi tuliambiwa ooh tunatengeneza mkongo wa taifa sijui Internet intakua na spidi ya kufa mtu na kwa bei nafuu , sijui hata iliishia wapi ,
Nchi yetu Ina viongozi Wa hovyo na waongo waongo tu
😅😅😆😄mkongo sahivi service inawatoa kijasho gharama za repair ni kubwa sana.
 
Back
Top Bottom