maisha

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hata ije katiba ipi Bado CCM itaendelea kuwepo madarakani kutokana na Sera na Ajenda zake zinazogusa Maisha ya Watanzania

    Ndugu zangu huo ndio ukweli na uhalisia wenyewe maana Kuna watu wanasema kuwa uchaguzi wa Tanzania kwa upande wa Urais unatabirika mshindi wake kutokana na katiba iliyopo. Mimi nasema hawapo sahihi na Kama wapo sahihi Basi hawaelezi sababu ya kutabirika mshindi wa kiti Cha Urais, Ndugu zangu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha adhabu ya kifungo cha maisha kwa kosa la usafirishaji haramu wa binadamu

    Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu. Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Serikali Ina Wajibu wa Kuhakikisha Raia Wake Hawadhulumiwi Maisha au Mali Zao

    Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu. Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa malori barabarani yanayoendelea kukatisha maisha ya Watanzania

    Ndugu wana bodi habari ya leo. Niende kwenye mada. Malori ya mizigo yamekuwa mengi sana barabarani kuliko magari ya aina nyingine. Ukibahatika kusafiri kutoka DSM kwenda Mwanza, malori haya yamejaa. Ukisafiri kwenda Mbeya mpaka Iringa malori haya yamejaa. Ukisafiri kutoka Ruvuma kwenda Lindi au...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Inyala, Mbeya ninampinga Makamu wa Rais Dr. Mpango kwa agizo lake "quick fix" na kumsihi awe serious na maisha ya Watanzania

    Katika taarifa yake kuhusu ajali ya pale Inyala Mkoani Mbeya iliyoua watu kadhaa pamoja na DED wa Igunga, Gazeti la Mwananchi limetoa taarifa kwamba ajali hiyo imetokea ikiwa ni siku tatu zimepita baada ya Makamu wa Rais Dkt. Mpango kutoa maagizo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuanza ukaguzi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lindi: Ahukumiwa maisha jela kwa kulawiti mtoto wa miaka nane

    Stevin Malikanga (48) Mkazi wa Kijiji cha Simana amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka nane. Mtuhumiwa amedaiwa kutenda kosa hilo Julai 26, 2022 baada ya kumchukua Mtoto huyo aliyekuwa akicheza nje ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jenga uchumi imara kwa maisha bora

    Uchumi ni mali iliyopatikana kutokana na mali za nchi au watu. Vitu viwili vikubwa vinavyoweza kumsaidia mtu kufikia malengo yake kiuchumi na kimaisha ni Nidhamu binafsi na Nidhamu ya maisha; lakini huwezi kutengeneza nidhamu ya maisha bila ya kuwa na nidhamu binafsi. Nidhamu binafsi ni uwezo...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee wa miaka 60 akiri kulawiti mtoto wa miaka 7, afungwa jela maisha

    Mzee wa miaka 60, Dickson Njau au ‘Babuu Saluu’, mkazi wa KDC Mbokomu katika wilaya ya Moshi, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kukiri kosa la kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka saba. Mshitakiwa ambaye hakuisumbua mahakama, alikiri kumwingiza mtoto huyo chumbani, kumvua...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hizo Ndizo Mbinu 5 Za Kukupa Maisha Ya Mafanikio:-

    1. Kuwa na nidhamu binafsi. Ili kupata mafanikio makubwa unayoyahitaji sio suala la kufanya kazi kwa bidii tu, zaidi unachohitaji nikuwa na nidhamu binafsi ambayo itakuongoza kwenye malengo yako. Watu wengi hawana nidhamu binafsi kitu ambacho kinapelekea wengi ndoto zao zinaishia kati. Ni muhimu...
  10. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tawala Fikra zako Ili uweze kuboresha maisha yako

    Mwandishi mmoja aliwahi kusema “Hakuna sumu yenye kuidhuru akili yenye mawazo chanya na hakuna dawa yenye kutibu akili yenye mawazo hasi” bahati mbaya sana akili za watu wengi zimetawaliwa sana na mawazo hasi kuliko mawazo chanya pia nakubaliana na msemo wa Brian Tracy “Badili namna unavyofikiri...
  11. Innocent Ngaoh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu saba (07) za kwanini unapaswa kukabiliana na msongo wa mawazo kwenye maisha yako

    Msongo wa mawazo ni hali ya kuwa na mawazo mengi kichwani kwa lugha rahisi ni mawazo ambayo yamerudhikana kwenye akili na kufanya uone unashindwa kuamua au kufanya maamuzi nini ufanye kutokana na changamoto, vikwazo, magumu na matatizo ambayo unapitia kwenye maisha ya kila siku. Inawezekana una...
  12. Nihilist

    JamiiForums Tanzania Maisha bila korodani (Testes) hayana umuhimu kwa ulimwengu huu wa familia

    Ni miaka 36 imepita tangu pale mvulana huyu azaliwe kwa furaha ya wazazi iliyoje kupata mtoto wa kiume wakifahamu wameleta mwana wa kuwaongezea ukoo na kuwafanya wajivunie kwa kupata wajukuu na huenda vitukuu na vilembwe, masikini pasina kufahamu kuwa mtoto huyo ana mapungufu makubwa ambayo kama...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnaofungia watoto ndani acheni ulimbukeni; mnawanyima watoto ujuzi wa kuyaishi maisha watayoishi ukubwani

    Sisemi kutoka kwenda mitaa ya mbali mbali kuzuruara mbali kama enzi zetu zamani, La hasha!! kwa sasa dunia imebadilika hivyo uhuru inabidi upungue lakini isiwe kuwanyima kabisa uhuru. Ni vema uwe unamruhusu majirani marafiki zake wawe wanakuja kucheza nae kwako nae awe anaenda kwa marafiki zake...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  15. Kingfish23

    JamiiForums Tanzania Je, nini kinasababisha Wakulima wa Tumbaku kutofanikiwa katika maisha?

    Nipo mkoa wa Tabora kwa kipindi cha takriban miaka 10 sasa. Nimebaini wananchi wanalima sana zao la Tumbaku kila mwaka na wanalipwa vizuri tu lakini ukiangalia mambo ya maendeleo kwa wakulima husika siyaoni zaidi ya kusubiria miradi ya Serikali kupata huduma kama afya, elimu na maji vilevile na...
  16. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kutegemea nyumbani, ndugu, wazazi, jamaa na marafiki 'yamewalostisha' vijana wengi

    Hii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi. Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi sensa ilivyo badilisha maisha mtaani kwetu

    Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kutambua takwimu za watu wote na makazi Tanzania ambapo hufanywa kila baada ya miaka kumi mara ya mwisho imefanywa kuanzia tarehe 23 mwezi wa nane mpaka tarehe 1 mwezi wa tisa 2022. Ambapo zoezi lilifanyika kwa ufanisi likiacha athari chanya mtu mmoja mmoja...
  18. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mazingira ambayo mke wako akizini lazima umsamehe na muendelee na maisha ya ndoa

    Mkeo akiliwa kwa situation zifuatazo lazma umsamehe 1. Azini ili apate chakula Cha watoto,wew ukiwa umefulia 2.Kugongwa mbele yako wakat mmevamiwa na majambazi 3.Akizini kwa lengo la kuokoa maisha yako,mfano unaumwa harafu hakuna hela ya matibabu,haraf akapata mwenye hela kwa shart la kumla...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Msingi wa binadamu katika maisha

    Afya ni msingi wa kila binadamu katika maendeleo ya kila siku hvyo bas tunatakiwa kulilinda kwa nguvu zote. Lakini ni ngumu kuilinda kutokana na mazingira na maisha ya kila siku kwamaa vyakula tunavyokula na kadharika. VYAKULA vipo vyakula ambazo sio vzuri kula ila kwenye maisha yetu ya kila...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha ni mfumo

    Kila kitu kimewekwa katika jamii yetu kwaajili ya kitu Fulani. Unatembea barabarani, unatupa chupa, muda huo huo Kuna mtu Kama wewe anategemea chupa iyo iyo unayoangusha kwa kudhamiria au kwa kutokudhamiria ili aweze kupata ridhiki ata kupata hela kidogo ili aweze kujikimu. Jalajala...
Back
Top Bottom