maisha

  1. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Kitengo kipya cha majanga ajali kushughulika katika kuokoa maisha ya watu

    Wizara ya Afya imeendelea kuboresha mikakati ya kuokoa maisha ya watu kutokana na majanga na ajali kwa kuanzisha Kitengo mahsusi kitakachoshughulika na kuokoa maisha ya watu kutokana na ajali. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
  2. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania: Watanzania washauriwa kujiongeza mtikisiko wa maisha

    Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Manchali Kilichopo Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, wametoa wito kwa Watanzania hasa wa Vijijini, kutumia vyema akiba ya chakula waliyonayo, ikiwemo kuwa waangalifu na matumizi yasiyokuwa ya lazima, kitu kitakachowasaidia kumudu mtikisiko wa maisha unaotokana na...
  3. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Maisha lazima yaendelee

  4. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara kada za Afya iongezwe, wanahatarisha sana maisha yao

    Watoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya. Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia, wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated. Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno. Serikali wawaangalie...
  5. Planet FSD

    JamiiForums Tanzania Kama taifa ni muda wa kuangalia vipaumbele vyetu, policies za emergencies preparedness na uthamini wa maisha ya binadamu

    Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji kujitathmini upya. Katika swala zima la uokozi muda wa majanga watanzania tumefeli na tunaendelea...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wa wanaoenda Marekani kutafuta maisha huwa wanarudi hawana kitu na kama vile kisaikolojia hawako sawa?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili. Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli miaka ya nyuma ukisoma tu unakuwa umetoboa maisha?

    Nakumbuka zamani mtu akishasoma tu huyo amepata ajira hasa akisomea afya au education yani ajira zilikua nje nje but i think wasomi wote wa zamani walikua wanapata kazi kikubwa uwe na elimu na vyeti vyako tu ajira zilikua nyingi mpaka wakaanza kuajiri na wenye vyeti feki. Lakini HayatI Magufuli...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Video: Ona maisha ya upendo yalivyo kati ya ndugu hawa

    Ebu Tazama upendo kwa mtu na Kaka yake katika hawa yatima na namna wanavyopitia Magumu. Let love LeAd Mungu awapiganie na waweze Kupata Muangaza wa Maisha Yao.🙏🙏🙏
  9. Satoh Hirosh

    JamiiForums Tanzania Dini ya Simba na Yanga inavyodhoofisha maisha ya Watanzania

    Inasikitisha na kushangaza sana. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru,nchi ambayo inasemekana tuna utajiri wa maji kuliko nchi yoyote ukanda huu wa maziwa makuu na pengine Afirka nzima,leo tunajadili swala la mgao wa maji.Tena Kuna wengine wameenda mbali zaidi kwa kuandika makala za kuwasifia Waislamu...
  10. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Chukua hatua hizi kupata mwanamke anaekufaa kwenye maisha yako

    Ile misemo ya zamani kuhusu ndoa miaka ya sasa haifanyi kazi kabisa. Kulingana na ukosoaji wa jamii hakuna kijana anaetaka kuangalia tabia anapotaka kuoa badala yake sura ndio jambo la kwanza. Kati ya wanawake wenye sura nzuri na mvuto wapo pia wenye tabia nzuri. Swali linakuja je nitajuaje...
  11. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Katika maisha ya ujana tunakutana na mambo mengi sana, mengine ya kutisha na mengine ya kawaida. Binafsi katika ujana wangu nimepitia mambo mengi mazito, nimeumizwa sana katika mapenzi na nimeumiza sana wanawake. Kati ya kitu siwezi kusahau katika maisha yangu na namuomba Mungu anisamehe na...
  12. Surya

    JamiiForums Tanzania Kiukweli natamani sana kuishi maisha bila ya watu kunishangaa na kuniuliza kwanini

    "No one judge me" Kiukweli ndugu zangu natamani sana kufanya vitu vingi vya binafsi lakini nikifikiria watu watanionaje nguvu zinaniisha na kuamua kuacha tu na kujificha au kujibana, na ni mambo ambayo natamani niyafanye kwa uhuru wote na kwa kujiachia kabisa. Binafsi mimi ni mtoa huduma za...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka uwe Champion wa Maisha yao Magumu na siyo uwe Champion wa Sensa iliyoisha

    Katika 61,741,120 wenye Maisha Magumu (Msoto Daily) ni 60,000,000 (kwa mujibu wangu Binafsi kama GENTAMYCINE ) sasa hii Nguvu ya Kujisifu kuwa Wewe ni Champion wa Sensa inatoka wapi? Halafu labda leo nikushauri kuwa na Wewe sasa anza Kushtuka na Kuwashtukia wanaokusifia kwani wengi Wanakusanifu...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mipaka unayostahili kuwa nayo katika maisha

    Watu wengi wanajua neno mipaka linamaanisha nini, lakini hawajui ni nini. Mipaka ni njia ya kujitunza mwenyewe. Unapoelewa jinsi ya kuweka na kudumisha mipaka ifaayo, unaweza kuepuka hisia za kinyongo, kukatishwa tamaa, na hasira ambazo hujengeka wakati mipaka imeondolewa. Hizi ni aina 5 za...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Najuta kuvunja nyumba yangu Ubungo Kibo sababu ya utanuzi wa barabara, ambao hawajabomoa wanakula maisha

    Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara. Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna...
  16. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha usije kumdharau mtu

    Nakuja ifuatavyoooo... Nasema tena kwenye haya maisha usije mdharau mtu,nakumbuka kipindi tukiwa wa dogo, msimu wa kufunga shule kwa ajili ya likizo ya December wazazi walikuwa wanatupeleka moshi kwa ajili ya kula Christmas maeneo ya machame, sasa kipindi hicho tukiwa huko machame kijijini...
  17. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Maisha yale hayatajirudia tena!

    Ndugu wana jamii habari zenu,ni jambo la kumshukuru MUNGU kuwa tunapumua bila kulipa ushuru, japo maisha magumu ila tunakomaa nayo maana tutamlalamikia nani?mwenyewe kasema '' usinichoshe tusichoshane''. Mnajuwa nini ndugu zangu, kuna mda mwingine ukikaa chini ukiyatafakari maisha ya...
  18. kwisha

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

    Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida. Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba halafu kaa kimya. Usichat naye wala...
  19. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na uwezo wa kutunza siri zako, kama huna siri elewa huna maisha

    Ndugu Msomaji wa makala za BAKIIF. Bila shaka unampenda MUNGU Sana, tunaamini hivyo japo hufuati amri zake, lipo kusudi la Mungu kutaka kukusaidia jambo Fulani ikiwa uko tayari katika yote jiepushe na mafundisho yasiyokuwa ya ki-MUNGU. Siri ni mipango iliyo ndani ya moyo wa mtu juu ya hatima...
  20. Jugado

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Habari. Nina miaka 37. Sifurahii maisha katika umri huu. Kama kuna mtu anaweza kutoa ushauri wa kunikomboa asisite, Mshana Jr n.k. Mtiririko wa matukio ni kama ufuatavyo; 1. Ninafanya kazi Serikalini mshahara take home ni 1.3 m, hapo nina mkopo wa miaka 5 NMB. 2. Kazi nimeanza tangu 2012...
Back
Top Bottom