mahusiano

  1. Surya

    JamiiForums Tanzania Sina hamu na mahusiano (wamenikata stimu)

    Eeh bhana maisha bado yana safar ndefu..tunaendelea kuishi na kitu pekee napenda maishani ni ubunifu wa jinsi ya kuishi vizur na kwa furaha na binadamu. Before 2018 nilikua mtu wa kukutana na mabinti wengi wanao nipenda baadhi nikapendana nao pia, hatukuweza kudumu kwa sababu mbalimbali...
  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya CCM na Polisi inatuharibia nchi

    Nimekuwa naipinga sana CHADEMA kwa sababu ya uCCM wangu. Lakini kwa hizi pilika zinazofanywa na serikali kukandamiza wapinzani kwa sababu ya kulinda uozo wetu zinanipa mashaka kuwa CCM ndo imekuwa inashika dola na siyo kuongoza dola. 1. Ukikosana na kipngozi wa CCM jiandae kupambana na polisi...
  3. JACKLINE CELESTINE KITALE

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mahusiano sio jambo la muhimu sana

    Jamii yetu imechukulia mahusiano ya kimapenzi kuwa ni kitu kibaya Sana na hata tumelelewa kuamini ya kuwa mapenzi au hisia za kimapenzi ni kosa la jinai. Mfano mzuri ni mashuleni, ukiwa na mahusiano na mwanafunzi mwenzio inakuwa kosa kuu ambalo unaweza hata kufukuzwa shule. Sisemi kwamba...
  4. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la kuchumbia au kupeleka barua ya posa ni nini?

    Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa Na kwanini huwa tunachumbia?
  5. Cainan

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa introverts na suala zima la mahusiano

    Habarini Wana Jamii forum. Siku ya leo nimeona nijikite katika kutoa ya moyoni , kubwa zaidi ntaangazia kundi la watu ambao hujulikana kama introvert na mahusiano ambayo hujihusisha na namna zake. Kwa kuanza kabisa mimi ni introvert wa kutupwa , linapofika swala la mahusiano kwa kweli sinaga...
  6. Mkulungwa01

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukitaka kuwa na mahusiano au kuoa chagua mwanamke mzuri

    Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri). Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali wa viongozi unahujumu mahusiano na raia

    Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano (siyo tukio halisi) Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
  8. mama D

    JamiiForums Tanzania Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo yafuatayo katika mahusiano

    YAFUATAYO, NDIO MAENEO AMBAYO MTU ALIYE KWENYE MAHUSIANO NI MUHIMU ILI KULINDA MAHUSIANO/PENZI:- Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kwa dhati kuwa katika mahusiano ni kwamba wanakuwa tayari katika akili zao wamejenga matarajio au matumaini ya kunufaika na uhusiano husika, hata kama hawawezi...
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka huu.Naweza kumsifia kuwa ni binti ambaye hakuwa na makuu wala tamaa maana alinikubali na maisha yangu...
  11. Jstar1

    JamiiForums Tanzania Mahusiano pasua kichwa

    Nina mpango baada ya miaka mitatu nione, nipo kwenye mahusiano na msichana flani hivi ambao kabila lao linasfika kwa viburi, ana umbo na ni mzuri kiasi. Picha linaanza anapenda sana kula na mm napenda mtu anaependa kula na namjali kwa kula mpaka ndugu zao wanasema kanenepa, ata mm ninae...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa sura na umbo la Mwanamke Muhimu kwenye mahusiano

    Uzuri wa muonekano muhimu mtu asikudanganye... Tena nawashauri vijana, weka mwanamke mzuri wa mwonekano ndani. Wapo wanawake wazuri wenye akili sana tu kichwani... Ina maana gani kuwa na pesa plus an ugly woman ndani... Raise standards kwenye appearances za wanawake unaodate... Kuna watu kwa...
  13. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Kuwa kwenye Mahusiano na mtu anaekuzidi umri sana ni hatari?

    Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili? Nawasilisha🙏
  14. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Wakati gani wa kuachana na Mahusiano yanayokuweka roho juu?

    Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo?
  15. Kilenzi _Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa kijana yeyote anayetaka Kuingia kwenye mahusiano ya Ndoa.

    Mpendwa rafiki yangu, Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi ni mtu sahihi kwako kama ukiingia kichwa kichwa. Watu wamekuwa ni wa kufanya maamuzi kwenye eneo la...
  16. haszu

    JamiiForums Tanzania Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi. Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia. Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia? Je mimi nitakua nakosea...
  17. Salimu Kajembe

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoa na Mahusiano: Yupi mke au Mume bora?

    YUPI MKE BORA/MUME BORA (NDOA NA MAHUSIANO) Lengo kuu la andiko hili ni kwenda kuibadilisha jamii ya watanzania hususan vijana wa kizazi cha leo ilo kuweza kutambua vema dhana halisi ya mahusioano na ndoa na namna ya kuweza kuwa na maamuzi sahihi juu machaguo sahihi kwenye mahusiano yao/ndoa...
  18. Lover boi

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kusamehe

    Nini maana halisi ya kusamehe? Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia neno “nisamehe” ndipo uendelee na maisha yako. Kusamehe kumewekwa na ni kwa manufaa zaidi kwa yule...
  19. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage. Hii itakusaidia sana kudumisha mahusiano yako ya SASA kwa njia zifuatazo: 1. Itakujengea komfidens...
  20. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Sijui mimi nina mkosi gani katika mahusiano

    Habari za jioni wanajamvi, moja kwa moja niingie kwenye nada, nimekuwa mhanga mkubwa wa wanawake hasa ninaowapata kwenye whatsapp groups, binafsi nina groups nyingi ambazo najitahidi ku socialize lkn nikafanikiwa kupata mademu kama wanne kwenye kila group ajabu kila mwanamke nilifamikiwa kuonana...
Back
Top Bottom