Natafuta rafiki wa kike kwa ajili ya mahusiano ya kuelekea ndoa

mume2b

New Member
Oct 27, 2021
3
4
Wapendwa,

Wasalaam!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta msichana ambaye tutaanza naye urafiki wa kimapenzi. Lakini lengo hasa ni kuona kama tunaweza kuelewana na kuelekea katika ndoa. Awe na sifa zifuatazo: -

1) Elimu: Form Four na kuendelea. Kama ni la saba, awe tayari kujiendeleza angalau kwa kiwango cha QT (yaani elimu ya sekondari kwa miaka miwili)
2) Kazi: Akiwa nayo sawa. Lakini pia asipokuwa nayo siyo tatizo
3) Dini: Mkristo. Lakini pia akiwa dini nyingine awe tayari kubadili na kuwa Mkristo.
4) Umri: Miaka 18-30.
5) Kabila: lolote
6) Eneo analotoka: Popote Tanzania.
6) Rangi ya ngozi, urefu/ufupi, unene/wembamba, n.k: Si muhimu kwangu.

Naombeni nipate ushirikiano wenu.

Maombi yaje INBOX tu. sitajibu hoja yoyote isiyokuja inbox.

Asanteni.
 
Hello wapendwa,
Nashukuru sana kwa wale wadada waliojitokeza inbox. Ila bado sijafunga mjadala hivyo nawakaribisha wengine pia. Asante
 
Umeshindwa kuchagua kati ya hao waliojitokeza?
Hello wapendwa,
Nashukuru sana kwa wale wadada waliojitokeza inbox. Ila bado sijafunga mjadala hivyo nawakaribisha wengine pia. Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom