Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
Sina lengo baya la kusema mademu wabaya wasiolewe au wasipate wenza, no. Ila katika kusoma articles mbali mbali nimegundua unakuwa na amani ya moyo uki-date na msichana mzuri/mkali kwa sura na vingine(mnanielewa hapa bila shaka nikisema mzuri).
Pia hata ukimpa pesa kama akiwa na shida kweli unakuwa na amani kutoa na unakuwa huna kinyongo.
Wasichana wabovu huwa na roho ngumi mno na mbaya, japo kuna wazuri wapo hivyo, lakini wasichana wabovu ni too much. Ni ukwel ulio wazi wana maamuzi ya kikatili na magumu.
Mademu wabovu wanatakiwa ku-date na watu ambao wana-match nao, mwanaume ukiona una mvuto na hb kidogo(japo husemwa mwanaume hawi mzuri ila kama hb utajijua tu), basi date na mdada mzuri hata kama sio sana, ila CHONDEEE usijiroge kudate na demj mbovu.
Ukidate nae atakuwa na inferiority complex, kitu kidogo ataona umemdharau hata kama hujamdharau. Anajishtukia mno!
Date na mademu unao-match nao utakuja kunishukuru. Hata kwenye kuoa, oa mzuri japo kidogo hata kama sio pisi kali.
Nimethibitisha kwa mifano mingi, Neema aliyemuua bf wake, pia kwangu mwenyewe, mademu wabaya walinikataa ila nilipojitambua na kuwafuata na wale wazuri, ajabu walinikubali mpaka nikashangaa na nilifurahia mahusiano yangu.
Ukweli usiopingika kuwa mademu wabovu wana roho ngumu mnoooo tena mbayaaaa
Nawasilisha.
NB
Sina lengo la kuwaponda mademu wabaya au wale wanaodate nao ila ndio ukweli. Mwanaume usiogope kumfuata demu mzuri(hata kama ni kidogo) ukihofia kukataliwa, fuata usiogope, utakuja kunishukuru!