Nasumbuliwa na tamaa za mwili, naogopa kuwa kwenye mahusiano

Superpower

JF-Expert Member
Oct 11, 2018
826
912
Ni hivi jamani mimi ni kijana wa miaka 24 naomba ushauri wa kimahusiano. Mimi mwenzenu nimekuwa mgumu mno wakuwa na mahusiano kwa sababu mbalimbali ambazo mimi nazisimamia akini napata tabu sana kuishi hivihivi na nyemelewa sana na punyeto.

Japo nimeona kuna tija ya kuwa-single lakini sasa nikavile naona haiwezekani kutokana na taama za mwili. Na kama ningekuwa na uchumi mzuri kidogo ningeoa lakini sina na tamaa zina ninyemelea nifanyaje?

  • Nachohofia sana kwenye mahusiano ya mdaa mrefu ni
  • Magonjwa
  • Kutoa hela nakutofanya mipango
  • Kusingiziwa mimba
  • Kugombana na watu
  • Mimba sizotarajiwa
  • Mawazo yasio na tija

Naomba ushauri nifanyaje jamani hii dunia ngumu sana, kuishi kuna muda unaona moto lakini unalazimisha hivyohivyo motoni
 
Siredi za nyeto ni nyingi humu sku izi, au inachangiwa na mabadiliko ya tabia ya nchi?

"akili isiyojishughulisha ni karakana ya shetani"

Hauwezi kuachana na wasichana, hauna pesa, unaogopa mimba, haumtumikii Mungu, inamaana uko idle, af nyeto ikuache salama.

Kama umeona ni vyema uwe single ongeza ushirika na Mungu wako, kila linapokuja wazo la nyeto badala ya kujichua wewe omba, utanishukuru badae
 
Nipo single. Nimegundua Maombi ya usiku na kufunga mara mbili kwa wiki yanapunguza tamaa za uasherati. Kabla ya hapo nilikuwa Kila nikiona bidada nahisi kuchanganyikiwa.
Muombe Mungu akuepeshe na usifikiri umemaliza, kadri unavyo omba sana na kufunga unavuta majaribu sana kutokana na nguvu unayo ipata kwenye hayo mamombi na kufunga. Utashangaa siku moja kaja demu mkali kishenzi kakuubali kinomaaa ukichapa tu hutokaa uombe kwa mda mrefu sana maana huo uchafu hunyonya sana nguvu
 
Muombe Mungu akuepeshe na usifikiri umemaliza, kadri unavyo omba sana na kufunga unavuta majaribu sana kutokana na nguvu unayo ipata kwenye hayo mamombi na kufunga. Utashangaa siku moja kaja demu mkali kishenzi kakuubali kinomaaa ukichapa tu hutokaa uombe kwa mda mrefu sana maana huo uchafu hunyonya sana nguvu
Ni hatari
 
Back
Top Bottom