Jinsi ya kuwaelewa wanaume au wanawake kwenye mahusiano

Oct 8, 2020
46
98
Kumuelewa mwanamke ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida.

Wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili maumivu yao.

Kumuelewa mwanaume. Ingia kwenye mahusiano na mwanaume mmoja, jifunze tabia zake zote kwani wanaume wote wanafanana tabia hii ni kutokana na namna utakavyokuwa unaishi naye (tabia yako)
 
kumuelewa mwanamke
ingia kwenye mahusiano na wanawake wengi kadri uwezavyo, hii itakusaidia kukutana na maumivu ya kila aina yanayosababishwa na wanawake kwenye mahusiano na hivyo kuwa sugu na kuona ni ya kawaida. wanawake hawataacha kuwaumiza wanaume njia pekee ya kuwaelewa ni kuhimili maumivu yao.

kumuelewa mwanaume.
ingia kwenye mahusiano na mwanaume mmoja, jifunze tabia zake zote kwani wanaume wote wanafanana tabia hii ni kutokana na namna utakavyokuwa unaishi naye(tabia yako)"
Si kweli
 
Back
Top Bottom