Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

VinJoe

Member
Dec 18, 2017
31
168
Miaka mingi iliyopita nikiwa bado mdogo sana familia zetu yaani baba mkubwa baba baba zangu wadogo shangazi yangu walikua wana utaratibu wakukutana kila mwaka mwezi wa 12 ambambo walikua wanasherekea birthday ya baba yao na sikukuu za xmas na mwaka mpya hivyo hata sisi binamu na ndugu wengine tulipata nafasi yakukutana na hata kutengeneza ukaribu mzuri wa kifamilia.

Ila kuna huyu binamu mtoto wa shangazi ki umri nimemzidi kwa na miaka miwili ila alionekana yeye kua na confidence kunizidi mimi mwenye aibu. Alipenda kunitania kua mimi ni mchumba wake niliona aibu kwani kaka zangu walinitania sana ila na yeye hakuacha kunitania kua mimi ni mchumba wake hio hali iliendelea kwa miaka kadhaa.

Miaka mingi ikapita kukatokea umbali mkubwa sana kwetu maana baba yake ambaye alikua si mtanzania alimchukua mwanae na shangazi yangu na kwenda nao ugaibuni. Hivyo tukawa hatukutani tena miaka ikasogea social media nazo zikaja mawasiliano yakarahisishwa hivyo tukaanza kutafutana kwenye mitandao na tukaanza kuwasiliana na story nyingi zilikua ananikumbushia enzi zile tulivyokua tunakutana kwa bibi na babu. Nilikua nishakua ila aibu hazijaniacha hivyo nikawa napotezea hizo mada na kuanza kumuuliza kua chuo anasoma course gani ila akawa ananirudisha pale pale kwenye yale mautani ya kuniita mchumba na mimi kuchukia hata mpaka kulia pale kaka zangu walipozidisha kunitania.

Mda ukapita kidogo wakawa wamefunga safari kuja Tanzania
Sikuweza kuonana nao mapema maana na mimi nilikua mkoani kwa ajili ya field ila niliporudi Nyumbani ndio nikapata nafasi ya kukutana na binamu yangu mzuri tuliepotezana kwa mda mrefu.

Kiukweli tulikua tumebadilika sana kulinganisha na mara ya mwisho kuonana. Nilikua nimesharefuka sana nimekua mkubwa na binamu yangu alikua naye ameshakua mkubwa maana kifua kimejaa na ule mchanganyiko wake sasa ndio zaidi ulimpendezesha maana urefu kachukua wa ki maasai na shape ila karangi kidogo kamekua si ka kibongo sana na nywele yaani kiukweli ni mrembo sana.

Basi tukawa tunaulizana sana mambo kuhusu maisha na mipango ya mbeleni. Mpaka tukazoeana vyakutosha nikaanza kumtoa kumzururisha tukawa watu wa bata jingi sana. Ila binamu alionekana ana jambo anataka kuniambia mara kadhaa ila akawa anapotezea. Nakumbuka tumetoka Club next door kama saa 8 hivi tunaelekea nyumbani. Binamu tulivyofika nyumbani alikataa tusiingie ndani kwanza. Hapo kesho yake tunatakiwa tuende Arusha kwenye birthday ya babu na sikukuu za xmas na mwaka mpya kama ilivyokua kawaida yetu. Ila wazee wetu walikua wameshatangulia amebaki mimi binamu na binamu yangu mwingine ila yeye siku hio hatukutoka naye alibakia nyumbani.
Binamu tukiwa pale nje akanikumbatia kilevi levi hivi na kunishika mashavu yangu kama mtoto na kuniambia "sijakuuliza kuhusu mchumba wako na sitakuuliza ninachotaka ni have a fun with you leo" sikua mnyonge kihivyo maana anaongea hayo anamaliza tayari mikono yangu ishakua active na iko kwenye her big round bouncy butt. Story iwe fupi tulipiga show hapo hapo nje ila tukaja kuimalizia chumbani.

Hii iliendelea kwa mda wote tuliokua nao hata tulivyoenda Arusha ila wakaondoka ila kwenye hali ambayo kiukweli kwetu wawili ilikua mbaya sana ila baada ya binamu kuondoka tulikaa mwaka mmoja na miezi kadhaa ndio tukakutana tena ila binamu alikua tofauti ni kama hana mizuka tena na mimi ila siku moja kwenye kuomba show maana ikawa ni yakuomba sasa maana hayuko kama mwanzoni ndio akafunguka akasema hataki tuwe sex-buddy anataka tuwe devoted na mahusiano yetu kiukweli nilishtuka sana ila binamu alionyesha msimambo anasema kwa mwaka mzima na miezi aliishi kwa shida sana akitamani angekua anaweza kuni control na nisiwe na date na mtu mwingine maana alikua ameshajawa na wivu sana.

Binamu nilishindwa kumuahidi alichotaka ila nikasingizia tamaduni zetu kua haziruhusu. Ila hakuwahi kukubaliana na hilo. Na mimi kiukweli nimemuelewa sana hali kwamba sina mtu ninaye date naye kwa sasa japo kupiga na piga ila natamani kutomuumiza tena binamu yangu mtamu.
January anakuja ila najua ugomvi utakua ule ule ndio maana imebidi niulize hili swali.
 
Tungeanza kwa kujiuliza:Udugu huwa unaanzia kwa watu wa aina gani?Hirimu zetu ni akina nani haswa?
Nilivyosema sisi ni ndugu so tuishie kua tulivyo hatuwezi tukawa kwenye serious relationship kuna hoja aliileta
Akasema ndugu wasiofaa kua na mahusiano au kuoana ni wale wanaotumia ubini unaofanana(surname)
Akimaanisha watoto wa baba mkubwa wa baba mdogo hao si sawa kwa anavyojua yeye ila hawa wa shangazi ambao wana ukoo wao huko kwa baba zao hawa hamna shida ukioa.
Ila kwangu sikukubaliana na hilo maana kama watoto wa mama yangu mdogo kwangu ni kama nimezaliwa nao tumbo moja na hata mtu usiyetujua vizuri kamwe huwezi kuja haraka haraka ukajua sisi sio wa mama mmoja. Sasa dada zangu kama hawa wenyewe hatutumii surname moja ila kwangu ni kama ndugu wa tumbo moja. Kiukweli sikukubaliana na hio hoja yake na hata moyo wangu hauna amani.
 
kwenye ukristo Ayubu alioa Mtu Dada yake
Na Yakobo alioa binamu zake tena wawili Leah na Rachel watoto wa mjomba yake aliekua anaitwa Laban. Ila kaka ishu zaidi hapa ni wazazi jamii na mila nadhani 😢
 
Shida inakuja kwenye mila na tamaduni zetu Waafrika.
Ila upande wa dini hamna tatizo.
Kwenye uislam unaruhusiwa kuoa mtoto wa baba mkubwa, baba mdogo, mama kubwa, mama mdogo, mjomba na shangazi.
Ally bin Abitwalib alioa mtoto wa Mtume (ﷺ) ambapo Ally na Mtume ni mtoto wa baba mkubwa na mdogo.
Kibongo bongo mtoto wa Mtume (ﷺ) angemuita Ally baba mdogo.
 
1.
Tamaa Za mtume
Screenshot_20211218-145932.jpg
 
"Isipokuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia"
Mkuu ufafanuzi kidogo hapo hawa wanaomilikiwa na mikono yenu ya kulia sheria imewataja ni kina nani?
 
"Isipokuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia"
Mkuu ufafanuzi kidogo hapo hawa wanaomilikiwa na mikono yenu ya kulia sheria imewataja ni kina nani?
Ngoja nikapige chabo kwenye msahafu mkubwa wa tafsiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom