Changamoto ya kimahusiano 2021, mipango ya 2022 katika mahusiano

Changamoto ya kimahusiano 2021, mipango ya 2022 katika mahusiano

KJ07

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2021
Posts
2,449
Reaction score
5,541
Tukiwa tunaelekea kuimaliza 2021 ni changamoto gani ya kimahusiano ambayo ulikutana nayo hasa katika marafiki zako na katika mapenzi na ulikabiliana nayo vipi?

Na je vipi kuhusu mwaka 2022 umejipangaje kimahusiano ili usikutane na changamoto kama za 2021. Binafsi 2021 nilikuwa na rafiki yangu ambaye nilimuamini kiasi cha kumshirikisha katika mambo yangu nikaja gundua ananisnitch nilimpiga chini mazima akawa anajirudi kinafki nikamkataa na kumove on na mambo mengine.

Karibuni wana jamvi.
 
Ni kutafuta pesa tu hadi ifike mahali pesa inizoee...mapenzi yapo tu
 
Anhaa okay

1. LACK OF CAPITAL ( Mtaji na hela ya biashara sina)
2. CONFLICT OF INTEREST(Mgongano wa kimaslahi njia kuu vs mchepuko)
3. POOR WAGES( Mshahara kidogo napofanyia kazi)
4. POOR GOVERNMENT SUPPORT( Serikali inazidi kufanya maisha kuwa magumu haitoi support ya kutosha kwa sisi wananchi wa chini)
5. FORCED LABOUR ( Natumia nguvu kubwa malipo kiduchu na hicho kidogo bebe haelewi)
6. LOW LEVEL OF TECHNOLOGY( Bebe anataka iPhone 13 pro max uwezo wangu ni kiswaswadu)
7. IGNORANCE/POOR EDUCATION( bebe wangu ananiambia siko romantiki kama wale wa kwenye tamthilia za kikorea na kifilipino)
8. NON-SEXY BODY( Sina six packs kama wale wengine, sijajazia ni kimbaumbau)
 
1. LACK OF CAPITAL
2. CONFLICT OF INTEREST
3. POOR WAGES
4. POOR GOVERNMENT SUPPORT
5. FORCED LABOUR
ongeza na hzo
6.IGNORANCE
7.MISUSE OF RESOURCES
8.POVERTY
9.MISUSE OF SOCIAL NETWORKS
10.FOOLISHNESS IN THE HEAD
 
so use ur tyme on fighting the challenges and not speaking nonsense on jf for u to be mentally fit in 2022
 
Back
Top Bottom