mahusiano

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano Gani ya kuchukia kelele na umri kwa Wanaume?

    Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda. Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi...
  2. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Fanya yote ila usiwe na mahusiano na mfanyakazi mwenzako kazini

    Wakuu habari za mchana na wasalimu kijana wenu. Sasa twende kwenye mkasa nimeshuhudia watu walio kuwa na mahusiano kazini kwa takribani mwaka na nusu hivi. Picha lina anza walipo anza ugomvi sisi kama wana taasisi tunajulishwa ni kama vile swala la familia lina hamia kazini basi valuvalu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ipi inaweza kuwa tofauti nzuri ya umri kati ya mume na mke kwenye ndoa au mahusiano

    Ipi inaweza kuwa kuwa sahihi mwanaume anapotafta mke , je amzidi umri wa miaka mingapi, ,mwanamke na mwanaume wakiwa na umri SAWA au mwanaume akawa na umri mdogo kwa mwanamke inaonyesha panapatikana changamoto sana , Kwa mujibu wa dini yangu ya kikristo umri unaoshauriwa ni mume amzidi mke...
  4. Arnold_webster

    JamiiForums Tanzania Je, malezi ya "Watu watasemaje" yameharibu mahusiano ya kizazi hiki?

    Kadiri ninavyowachunguza watu na mahusiano yao, ndivyo ninavyozidi kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa tuliyorithi kutoka kwa wazazi wetu ni utamaduni wa kuishi kwa ajili ya maoni ya wengine. Wazazi wengi walilelewa katika mazingira ambayo heshima ilipimwa kwa namna jamii ilivyokuona. Matokeo...
  5. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waafrika na mahusiano tofauti na dunia nzima!

    sijawahi kukutana na waafrika mwanaume na girlfriend wake au mke wake wawili tu wakisafiri pamoja, ila nimeshakutana na wahindi akiwa na mke wake au girfriend wakisafiri, wazungu ni kama kawaida, nimeshaona wachina mwanaume akiwa na demu wake tu safarini, hata arabs wa gulfs nimeshakutana nao...
  6. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Leo nimetua mzigo mzito wa mahusiano

    Wasalaam Hii ni story ya kweli ambayo imetokea kwenye maisha yangu napenda nishare nanyi kisa hiki kifupi ili tujifunze na tuburudike. Mnamo mwaka 2019 nilimaliza elimu ya digrii katika chuo maarufu hapa daslam. Kutokana na hurka yangu ya kupenda kujumuika na watoto kwenye mambo mbalimbali...
  7. MRWINNER

    JamiiForums Tanzania MAHUSIANO YA MITANDAONI YANADUMU?

    kumekuwa na wimbi la watu kutafuta MAHUSIANO kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii je unadhani hayo MAHUSIANO hudumu?
  8. MRWINNER

    JamiiForums Tanzania Nini Hupelekea Ndoa Nyingi Kuvunjika Ama Mahusiano?

    Je, sababu kuu huwa ni usaliti na matamanio, kukosekana kwa uwazi, au kuchokana ?
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii chuki dhidi ya ‘Single Mothers’ Inaweza Kubadilisha Mfumo wa Mahusiano ya hawa Gen Z wakagoma kabisa kushika mimba mpaka ndoa

    ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa? Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
  10. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    (BASED ON A TRUE STORY) Portion 1 Kuna baadhi ya matukio nikiyakumbuka mpaka leo najiona nilikuwa bonge la mpuuzi. Na naamini kabisa kama ingewezekana huyu mimi wa sasa kukutana na mimi wa miaka ile, Mimi wa sasa angempiga makofi mengi sana. Nisikuchoshe usinichoshe directly kwenye story...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mahusiano

    Utafanyaje utapogundua mwenza wako ni 1. Msagaji 2. Wali nazi? Utafunika kombe mwanaharamu apite ama utachukua maamuzi magumu? Utathubutu kuwaambia watu uhalisia ama utakufa na siri yako?
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kabla hujamuoa single Mother jitahidi mjue aliyezaa naye. Kama amekuzidi kipato sitisha mahusiano haraka. Sababu ni hizi;

    KABLA HUJAMUOA SINGLE MOTHER JITAHIDI MJUE ALIYEZAA NAYE. KAMA AMEKUZIDI KIPATO SITISHA MAHUSIANO HARAKA. SABABU NI HIZI; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kwa Sisi Watibeli Tunaoa wanawake ambao wako Proudly kuwa na Sisi. Yaani wakiwa kwao jina letu linavuma, wanatutaja kwa mazuri...
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume, yaangalie mahusiano kwa mtazamo wa kibiashara

    Wengi wenu humu ndani tayari mna ule uzoefu. Unaombwa kitu/msaada na mwanamke halafu unamkatalia labda sababu hautaki au hauwezi kumsadia kwa wakati huo. Baada ya hapa mwanamke anakughost na kukata mara moja ule urafiki/ukaribu wenu. Jaribu kuvuta kumbukumbu wanawake wote waliowahi kukuomba...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kiburi kimeua mahusiano ya watu wengi kuliko usaliti

    Mahusiano ya watu wengi yanakufa kwasababu ya kiburi , unakuta mtu anasema atanitafuta tu halafu mwisho wa siku imetoka hiyo , au mwengine anataka atafutwe yeye kwanza ana kiburi cha kujiona bora sana kuliko mwenzake sasa watu wengine hawana uvumilivu na watu wa aina hiyo anatafuta...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kutoka kwenye mahusiano bila vurugu?

    Wakuu, haya mahusino naona kabisa hatuna future, ila tumezoea kuwa pamoja na ndio kitu pekee kinatubakisha. Kwa namna nilivyoishi na huyu bibie sihitaji kuachana naye kwa vurugu, nahitaji tuachane kwa amani kila mtu ashike lake. NIpeni mbinu wakuu, nifanyaleje? Maana kama ni kupunguza...
  16. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Wanawake wa Kipare wanajiona wao ndio wana Soko kubwa sana kwenye Mahusiano tofauti na Wanawake wa Kichagga?

    Hilo ni swali mezani wakuu. Nawauliza kutokana na kile ninachokiona kwa macho yangu mawili, why mabinti wa kipare wanajiona kwamba wao ndio wana soko kubwa sana linapokuja suala zima la mahusiano ni kama kwamba wao ndio namba #1 kisha wengine wanafuata, nini sababu? Hii nazungumzia kwa...
  17. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  18. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kama na hawa wameachana basi, mahusiano ni magumu, aisee

    Juzi pitapita mitandaoni, nikapata taarifa kuwa chirwa na rubeni wameachana, nikataka nijue chanzo, mana huyu Binti watanzania walikua nyuma yake kutokana na kile nacho amini kuhurumiwa, Inasemekana sababu kubwa ya wao kuachana, ni kuwa ndugu wa mwanaume hawa kuwa tayari ndugu Yao amuoe huyu...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

    Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
  20. fyddell

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano kati ya kuacha pombe na kukosa usingizi(Insomnia)?

    Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya...
Back
Top Bottom