mahusiano

  1. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kufa kisa huu mdomo wa huyu mwanaume naomba msaada

    Jamani nisaidieni na mimi nimsaidie huyu mwanaume Tuna mahusiano inaelekea mwaka sasa lakini nashindwa namna ya kufanya ili kumsaidia huyu kijana Jamani kijana ananuka mno mno mno mdomo kiasi kwamba najisikiaga mpk kutapika mpk nina mkwepa kuonana nae Tangu mara ya kwanza nakutana nae...
  2. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Ego play katika mahusiano

    Katika maisha kila mtu Huwa na motives na matarajio ili kufanya maisha yake yawe apealing(mazuri) Ni sawa kabisa maana maisha bila kusudi au lengo hubaki tupu. Ila wengi wetu huwa na matarajio bila ya kuwa na boundaries.. Hatuwi na boundaries za kutowahusisha wengine ndani ya hayo matarajio...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Ukikutana na mazingira haya kwa mtu unayetaka kuanzisha nae mahusiano, ni bora uwe single

    Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano 1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kukosa Upendo: Chanzo cha Tabia na Mahusiano Magumu

    Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
  5. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari tena, ndoa na mahusiano zinazidi kuteketeza vijana .

    Inasikitisha. Vijana wanaumia,wanaumizwa mbaya zaidi hawasikilizwi, vijana wa kiume ndiyo kabisa wahanga wa hii kitu wamebaki na Vitu vingi mioyoni mwao. Jinsia na haiba yao inazidi kuwateketeza mithili ya moto wa nyika kwenye nyasi nyingi.hawasemi popote, kwakuwa tu wameshakaririshwa uanaume...
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kutoka Safari ya Jux: Ndoa na Mahusiano

    Kwanza kabisa Jux is one among the artists ana inborn talent na anajua muziki, rnb zake mwanzoni kabisa zikiwakosha wengi.... Kama mnafatilia anatumia real life scenes kutunga nyimbo na Zina enda kweli.. Kabla ya kujumuika na mwambino(Diamond platnumz) alikuwa anafanya kazi Nzuri sana vibao...
  7. masai dada

    JamiiForums Tanzania Sex unaipa asilimia ngapi kwenye mahusiano yako?

    najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali binafsi naipa 60% hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni kwa mtu wako so kama siipati kwa asilimia 60 naona si haki na sitafurahishwa na hayo mapendo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, ni kweli kidole cha pete kina mshipa maalumu unaounganisha na moyo?

    Kutokana na mazoea yaliyopo duniani ni kwamba watu walio kwenye mahusiano kama Ndoa na Uchumba, Pete huvaa mkono wa kushoto. Je, kwanini pete zisivaliwe mkono wa kulia badala ya mkono wa kushoto?
  9. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

    Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe. Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza. Alikuwa ananipa...
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Family Friend / Marafiki wa karibu iwanasaidia kuokoa ndoa / Mahusiano

    Ni muhimu sana kwa watu waliopo ktk ndoa kuwa na Family friend au waliopo kwenye mahusiano serious kuwa na marafiki wa karibu . Mwanamke uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki wako wa karibu kwa mwanaume wako , na mwanaume uliyepo ktk mahusiano jitahidi umtambulishe rafiki yako wa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano?

    Mdau hivi kwanini kuna ongezeko kubwa la wadada wanaopenda hela kwenye mahusiano ?
  12. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

    Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
  13. Vien

    JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye mtego wa kukopesha ili tu kujenga mahusiano mazuri na wateja, ujue unachimbia shimo ambalo linaweza kuizika biashara yako.

    Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾 Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa kuwakopesha. Wapo hata wataalamu wa biashara wanaoshauri kuwa kwa mazingira fulani kutoa bidhaa kwa mkopo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wanao nunua wanawake wapo sahihi zaidi kuliko walio kwenye mahusiano

    Sababu ni hizi hapa 👇👇👇 1. Hawa mademu tunao waita wapenzi wetu huku mitaani ndio hao hao wanao enda kujiuza viwanja au wengine hujiuza kupitia mitandao mbalimbali. So ile kusema kwamba siwezi kununua Malaya haina mantiki yoyote kwa sababu hata huyo demu wako ni Malaya anae Jiuza kwa wengine...
  15. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa na mahusiano na mwanamke wa miaka kuanzia 27 Hadi 30+

    Mimi ni kijana Niko mbeya natamani tu kuwa na mwanamke wa miaka iyoo maana Hawa wa 2000 mbona kama pasua kichwa sana, na mimi nna miaka 28, kama upo interested DM, uwe vyovyote Ile usiwe mnene, kama love wa jua Kali,,, ukiwa Black 🖤 utakua vizuri maana weupe ndo sawa na wale wale wa 2000, 😔😔😔😔😔
  16. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Hamu ya mahusiano imekatishwa na utandawazi!

    Zamani miaka ya 2005 kurudi nyuma mapenzi yakikuwa na mvuto sana. Ie kulikuwa na commitment ya mahusiano baina ya wapendanao na hata mmoja akisafiri kwenda mkoa mwingine still wapenzi walivumiliana! Saivi mapenzi yamekuwa rahisi sana, mnakutana leo then naomba namba yako kesho mmeshakulana 😂😂😂...
  17. Eunice selin

    JamiiForums Tanzania Unafikiri cheating ndiyo mwisho wa mahusiano. Ukweli ni kwamba kuna vitu vinaua mapenzi taratibu kuliko cheating

    Cheating ni kosa kubwa, lakini si sababu pekee inayovunja mahusiano. Mara nyingi mahusiano hufa polepole kutokana na tabia zinazojirudia kila siku bila watu kuzitambua. Upendo hauondoki kwa siku moja—hupungua hatua kwa hatua. Mawasiliano yanapokosekana, heshima inapopungua, kuthaminiana...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ananiambia kuna vitu namfanyia ambavyo hajawai fanyiwa tangu aanze mahusiano

    Wakubwa hamkosei......... Aisee ee bana hapa juzi kati nilipewa miadi na shemeji yenu. Mtoto alikuja mpaka ghetoni kwangu bila choyo. Kifuatacho nilijipigia mbususu kama baba yangu Rickboy. Yaani Ilikuwa ni bandika bandua. Baada ya nginja nginja tulioga pamoja na kuachana. Yaani tangu siku hiyo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mahusiano Yasipoteze Ramani ya Maisha Yako.

    Salaam to everyone, Its my hopes that wote mna weekend njema. Kuna jambo limekuwa likinitafakarisha sana hivi karibuni kuhusu namna sisi vijana wa kiume tunavyoendesha mahusiano yetu ya kimapenzi. Well, kuwa kwenye mahusiano sio kitu kibaya na hata kumpenda mtu kimapenzi sio kitu kibaya...
  20. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwenye mahusiano haulipwi ambacho unastahili, unalipwa ambacho umekubaliana nacho.

    When it comes to relationship you don't get the woman you deserve. You get the woman you earn. Twende sasa. Wanaume wema, waelewa, wenye mioyo mizuri, nia njema na wanaoona uzuri tu kwa watu(nice guys). Mara nyingi wanaishia ku-settle na damaged women. Kweli au uongo? Kweli Je wanastahili...
Back
Top Bottom