mahusiano

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Big Yes or Big No

    Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope. Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema “When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?

    Unahisi ipi ni hamasa kuu ya mwanamke katika mahusiano ya kimapenzi?
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Maombi maalum kwa waliopo single wanaotaka wenza wao

    Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba. Day 05 Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
  5. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

    Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati. Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unataka Amani ya Moyo Kwenye Mahusiano? Toka na Anayekupenda, na si Unayempenda

    Haijalishi kama wewe ni KE au ME, kama unafikiria kuingia kwenye mahusiano au tayari uko kwenye mahusiano na kuna vitu havieleweki au unajiuliza maswali na hupati majibu, basi habari hii inakuhusu. Iko hivi, kama ukipewa uchaguzi wa kuingia kwenye mahusiano na mtu unayempenda au anayekupenda...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumshika mwanaume kwenye mahusiano

    Mwanaume ni kiumbe ambaye ni raising kumteka kimapenzi. Na ndio maana matukio ya Wanaume kupotea na kukutwa kafungiwa ndani kwa mwanamke fulani ni mengi, ilibidi hata Mbosso aandike nyimbo ya "Amepotea" kuonesha ni namna gani mwanaume ni rahisi kuuiba mutima wake. Ni tofauti na kuuteka moyo wa...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaboresha mahusiano ya kidiplomasia na china

    Haya ni mabadiliko makubwa katika siasa za sasa za kikanda na kidunia. Wafanyabiashara wa Uingereza wataruhusiwa kuingia china bila visa
  9. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu iliyokufanya uolewe/uoe?

    Wakuu, naomba tupeane experience, Ipi sababu iliyokufanya uolewe/uoe? 1. Je ni kwasababu ulichoka kuishi maisha ya upweke? 2. Je ni kwasababu ulishindwa kuzuia hisia? 3. Je ni kwasababu ulipata mtu mwenye pesa? 4. Je nikwasababu ulizalishwa/Ulizalisha? 5. Je ni kwasababu ulimpa mtu ujauzito/...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

    Habari za usiku Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4. Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu) Nilijipa siku 3...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nimedumu naye kwenye Mahusiano miaka 3, leo anasema mwanaume atakayenioa ana bahati

    Habari wana JF, Kweli nimeamini kuna wakati tunatakiwa kuheshimu mawazo yetu ya awali hasa wakati tunapojaribu kufikiria jambo fulani linalotutatiza kiuhalisia. Katika maisha yangu niliamini kuwambali na wanaume kunaweza kunipa amani ya moyo na maisha kiujumla nikijikita katika kazi kujikimu...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika mahusiano kuna age fulani ikifika unasema ningelijua, ndio basi tena

    Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana. Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao. Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine. Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu...
  13. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Kitu nilichojifunza after marriage mwanamke ndo kiumbe mshindi katika hayo mahusiano

    Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada tu: Kwenye mahusiano, mnapendelea kubwa au ndogo? Na kwanini?

    Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa. Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni kama tomato sauce tu kwenye chips. Yaani haya huwa yanavutia macho na hivyo kuongeza hamasa na hamu...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kajipost mtandaoni akiwa na mwanaume ambae nina mahusiano naye. Anamaanisha nini?

    Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ishu za mahusiano me nimeachana nazo rasmi, ntasubiri muda ufike nioe

    Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena. Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni...
  17. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Zanzibar natokaje nawauliza mi natokaje, walimwengu natokaje

    SEHEMU YA KWANZA 1 Habari zenu wakuu, mi ni kijana wa kawaida niko end of twenty something najianda kuingia thirty. Katika pulukushani za maisha Dodoma na Arusha nilipata wazo la kujichanganya Zanzibar.Niliingia Zanzibar lengo ni utafutaji, sikuwa na pakufikia nilikuwa nanyoosha TU barabara...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

    Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano JF. Nipo na huyu kijana mwezi wa pili sasa lakini naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda. Huyu jamaa yangu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele, anaweza kujitahidi siku...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Penzi jipya mawasiliano ya zamani

    Poleni wote na Mungu azidi kuwatia nguvu wale wote mliopoteza ndugu na jamaa Hakika Mungu akawafariji kipindi hiki kigumu Mimi nae mapenzi yataniua na stress Kila napogusa hola 🥹 Nina penzi jipya ila ni kama la zamani imagine penzi lina mwezi lakini mawasiliano ni ya manati.. tangu jana...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi sijui chochote kuhusu mahusiano ya kupenda ama kupendwa

    Habari za wakati huu wana jf Nimeona bora kuwa mkweli uenda nikapata mitizamo itakayo nijenga juu ya swala hili zima la mahusiano ya kimapenzi.. nina umri wa miaka 30 , mpaka namaliza elimu ya diploma ya uandisi wa ujenzi , sijawahi kuwa na mahusino ya kimapenzi kabisaa. na sikuhitaji kabisa...
Back
Top Bottom