Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
''Ng'ombe asiyekupatia maziwa, usimpe majani''
Kazi kwenu mabaharia.
Kazi kwenu mabaharia.
hakuna namna!Kale unapopelekaga mboga!
mboga unamaanisha nnKale unapopelekaga mboga!
Sipeleki majani, bora afe kwa njaa tuBado hujasema
Nimejikuta soli ya kiatu inaishia upande, kwa kugharamikia pasipotakiwaMbona umechelewa
Wanaume bhna huju JF mnanichekesha🤣Sipeleki majani, bora afe kwa njaa tu
Ni vizuri kuwekeza kwenye faidaEquation lazima i balance...
Ni vizuri kuusimamiaNa huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
Ni huzuni kwa kweliNimejikuta soli ya kiatu inaishia upande, kwa kugharamikia pasipotakiwa
Una akili sana 👊Lakini ili ng'ombe akupe maziwa lazima umpe majani Kwanza
Kama unaweza kunipa maziwa, njoo ule majaniWanaume bhna huju JF mnanichekesha🤣
Huo utapeliLakini ili ng'ombe akupe maziwa lazima umpe majani Kwanza