MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,155
- 12,711
Ciao.!
Tushakubali kuwa hamko romantic ila punguzeni usela kwenye mapenzi.
Yan ukiwa na pisi ya kichaga inakuchanganya mpaka unashindwa kuelewa wewe ni mshikaji wake, kaka yake au mpenzi wake.
Pisi ya kichaga kukuita "oi" ni kawaida sana au text inaingia ukifungua unakuta imeandika "vipi man" haha 😄