Kwenye video hii kuna mwanamke anayewapatia ushauri watoto wa kike. Baadhi ya wanawake wamemuunga mkono sana huku wanaume wakionesha kuwa ameongea tope.
Ukitazama ushauri wake ni sawa na kusema
“When You Get a New Girlfriend, Tell Her You will be Fired from Job in Two Months Away and See What...
Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba.
Day 05
Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati.
Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
Haijalishi kama wewe ni KE au ME, kama unafikiria kuingia kwenye mahusiano au tayari uko kwenye mahusiano na kuna vitu havieleweki au unajiuliza maswali na hupati majibu, basi habari hii inakuhusu. Iko hivi, kama ukipewa uchaguzi wa kuingia kwenye mahusiano na mtu unayempenda au anayekupenda...
Mwanaume ni kiumbe ambaye ni raising kumteka kimapenzi. Na ndio maana matukio ya Wanaume kupotea na kukutwa kafungiwa ndani kwa mwanamke fulani ni mengi, ilibidi hata Mbosso aandike nyimbo ya "Amepotea" kuonesha ni namna gani mwanaume ni rahisi kuuiba mutima wake.
Ni tofauti na kuuteka moyo wa...
Wakuu, naomba tupeane experience, Ipi sababu iliyokufanya uolewe/uoe?
1. Je ni kwasababu ulichoka kuishi maisha ya upweke?
2. Je ni kwasababu ulishindwa kuzuia hisia?
3. Je ni kwasababu ulipata mtu mwenye pesa?
4. Je nikwasababu ulizalishwa/Ulizalisha?
5. Je ni kwasababu ulimpa mtu ujauzito/...
Habari za usiku
Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.
Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)
Nilijipa siku 3...
Habari wana JF,
Kweli nimeamini kuna wakati tunatakiwa kuheshimu mawazo yetu ya awali hasa wakati tunapojaribu kufikiria jambo fulani linalotutatiza kiuhalisia.
Katika maisha yangu niliamini kuwambali na wanaume kunaweza kunipa amani ya moyo na maisha kiujumla nikijikita katika kazi kujikimu...
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.
Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.
Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa kwa vile kwao ni mkoa mwengine.
Baada ya kuanzishwa facebook mpaka ilivyoanza kuingia kwenye simu...
Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako
Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia...
Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa.
Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni kama tomato sauce tu kwenye chips. Yaani haya huwa yanavutia macho na hivyo kuongeza hamasa na hamu...
Kama kichwa kinavyojieleza, huyu mwanamke sijajua nia yake haswa ni nini
Mimi kusema ukweli simjui kabisa huyo dada nimeshangaa tu mtu kanitumia request ya kuni follow ikabidi niangalie ni nani Hakuna picha kwa account yake zaidi ya passport ya kichwa chake kama pembe Tatu.. ila miongoni mwa...
Baada ya kupambana kwa muda mrefu angalau nichakate mbususu
Nikapata kidem cha mwaka wa kwanza, fikisha gheto ile kuanza harakati kanadai kanataka kurudi hostel, nimem boltia ameondoka, sitamtafuta tena.
Niliwekeza pesa na muda kumfikisha hii hatua but nafikia hitimisho moja tu "mambo yote ni...
SEHEMU YA KWANZA 1
Habari zenu wakuu, mi ni kijana wa kawaida niko end of twenty something najianda kuingia thirty.
Katika pulukushani za maisha Dodoma na Arusha nilipata wazo la kujichanganya Zanzibar.Niliingia Zanzibar lengo ni utafutaji, sikuwa na pakufikia nilikuwa nanyoosha TU barabara...
Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano JF.
Nipo na huyu kijana mwezi wa pili sasa lakini naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda.
Huyu jamaa yangu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele, anaweza kujitahidi siku...
Poleni wote na Mungu azidi kuwatia nguvu wale wote mliopoteza ndugu na jamaa Hakika Mungu akawafariji kipindi hiki kigumu
Mimi nae mapenzi yataniua na stress Kila napogusa hola 🥹
Nina penzi jipya ila ni kama la zamani imagine penzi lina mwezi lakini mawasiliano ni ya manati.. tangu jana...
Habari za wakati huu wana jf
Nimeona bora kuwa mkweli uenda nikapata mitizamo itakayo nijenga juu ya swala hili zima la mahusiano ya kimapenzi..
nina umri wa miaka 30 , mpaka namaliza elimu ya diploma ya uandisi wa ujenzi , sijawahi kuwa na mahusino ya kimapenzi kabisaa. na sikuhitaji kabisa...
Hiki ni kisa cha kweli jamaa ana pisi yake Kali mtoto kamaliza form four mwaka jana tu miaka 18 mchizi wa miaka 25+ ila hajawahi pewa unyevu ni MIEZI 6 anajiuliza je ni kweli hapo kuna mapenzi au maigizo anafanyiwa kila akiomba ANAAMBIWA kwa sasa sipo tayari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.