mahindi

  1. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Bei za vyakula zapaa maradufu. Mchele wafika Tsh 3000/=, unga wa mahindi Tsh 2000/=

    Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati. Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Natafuta kombinesheni Nina ekari 50 za mashamba Bora kabisa ya mahindi Rukwa

    Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Wandugu kumbe hizi fungus za mahindi zinaliwa?

    Wanaiziita huitlacoche.
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania BOT: Bei ya mahindi imepanda mara mbili

    Wakati raia wakiendelea kulalama juu ya kupanda kwa bei ya nafaka, wakulima na wafanyabiashara huenda wakawa miongoni mwa watu walionufaika zaidi na zao la mahindi baada ya bei ya jumla ya zao hilo kupanda zaidi ya mara mbili ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita. Ripoti ya Mapitio ya...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

    Serikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu. Miongoni mwa bidhaa za chakula zilizopanda bei katika mwaka ulioishia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti mwaka huu ni mchele, maharage, mahindi...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mchele 3200kg, maharage 3000kg na mahindi 100 yamefika 140k

    Mfumuko wa bei hasa mazao ya chakula unatisha! Mfano kilo ya mchele sasa imefika shilingi 3200kg na maharage 3000kg. Kuhusu mahindi ndiyo usiseme kabisa maana gunia la kilo 100 linauzwa laki na arobaini. R.I.P JPM.
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marufuku kusafirisha Mahindi kutoka Tanzania bila kibali cha BRELA

    Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya kusafirishwa nje ya nchi Notisi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Tanzania inawataka wafanyabiashara wa...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mshtuko: Gunia la mahindi lauzwa 135K

    Haijawahi kutokea! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya bei ya mahindi kufikia kuuzwa laki na thelathini na tano kwa gunia la debe sita ambazo ni sawa na kilo 107 hadi 110 kutegemea na uzito wa mahindi.
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake. Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wazazi wakamatwa kwa kuwajeruhi kwa moto watoto wao wakiwatuhumu kuiba Mahindi

    Wazazi wawili Yohana Josephat (40) na Lucia Michael (30) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu baada ya kuwajeruhi watoto wao kwa kuwachoma na moto sehemu mbalimbali za mwilini baada ya kuwatuhumu kuiba mahindi debe moja. Watuhumiwa ni Wakazi wa Kijiji cha Yitwimilaa, Kata ya Kiloleli...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti mahindi kwenda nje

    Bei ya mhindi huko Arusha vijijini haishikiki. Serikali kupitia Waziri wake Bashe ithibiti mahindi kwenda nje Watu wataumia na ukosefu wa mahindi
  12. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Karibu nauza mahindi na ulezi

    Kilo Mia na Saba no shilling 71000 hapa hapa Tunduma nauli kwa Tani mpaka holili ni lak 2nakumi dar ni lak na 20 kwatani boss wang
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Unga kushuka kutoka Ksh. 230 hadi Ksh. 100 baada ya ruzuku ya Serikali

    Bei ya Unga wa mahindi nchini Kenya itashuka kutoka Ksh. 230-100 kuanzia leo Julai 18 Hii ni baada ya Serikali ya Kenya kutoa ruzuku kwa bei ya uzalishaji wa bidhaa hiyo kwa muda wa wiki 4. Katika muda wa wiki 4, Wizara ya Kilimo italipa sehemu ya gharama ya kuzalisha Unga, ili kuwaepusha...
  14. Ndata

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu matumizi ya samadi kilimo cha mahindi

    Habari za humu ndani wadau, nimesoma maandiko mengi na kusikiliza wataalamu wengi juu ya kilimo cha mahindi. Wapo wanaosema unaweza tumia viua magugu km round up kuandaa shamba badala ya kulima. Hili wadau mnasemaje Na pili ni kwenye matumizi ya mbolea. Nataka kupanda kwa kutumiwa mbolea ya...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mahindi kwa mwaka 2022

    Wadau ni kwa mara ya kwanza naandika humu hii ni kutokana na kujifunza vtu vingi kupitia kwenu hivyo nahitaji kujua wapi nitapata mahindi ya bei ya 60 kwa gunia hasa mkoa ya Katavi, Kigoma na kwingine
  16. Imaniyanguitaniponyatu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unga wa mahindi Kenya kilo moja ni 4100 shilingi za Kitanzania

    Bei ya mahindi nchini Tanzania inaogofya sana hadi kufikia 100000-130000 kwa gunia la kilo 100 kwa baadhi ya mikoa ya nchi hii. Kupanda kwa bei ya mahindi imepelekea wananchi wa kawaida kununua unga wa kupikia ugali kati ya 1400-2000 kwa kilo moja, hali ya upatikanaji wa chakula hicho inazidi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Nawapa tahadhari kuwa njaa inayokuja mbeleni kwa nchi ya Tanzania itakuwa ya kutisha. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu katika mpaka wa Sirari mamia ya malori yakiwa na shehena ya mahindi yakipelekwa Kenya. Huu ni mwezi wa sita bei ya gunia moja la mahindi ni zaidi ya Tshs.130,000 maeneo ya...
  18. Jitume Biashara

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  19. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Nchi inapitia wakati mgumu kuwahi kutokea. Gunia la mahindi limefika Tsh 180,000

    Ni kosa kubwa sana chawa wa Samia wanalifanya kwa kutokumwambia ukweli kuwa nchi inapitia wakati mgumu sana lkakini walivyo wanajikuta wanamsingizia Hayati Magufuli kila kitu lakini ukweli ni kwamba Rais Samia hawezi kumfikia Hayati Magufuli hata kwa asilimia moja.
  20. tlowjr

    JamiiForums Tanzania Dawa ya wadudu wanaoshambulia mahindi yanayoota

    Wakuu salaam, Naomba mwenye kujua dawa ya wadudu wanaoshambulia mimea aina ya mahindi anijulishe.
Back
Top Bottom