Wanabodi habari za leo!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja, nimelima mahindi na nikayahifadhi store maguni si mengi kama 200 hivi. Je kuna mdau yeyote anayejua bei ya kilo ni Shilingi ngapi kwa sasa kwenye eneo lako ulipo?
Kwa Mkoa wa Arusha na maeneo mengi ya Wilaya zake bei ina-range...