Wapi napata ile mifuko maalumu ya kuhifadhia mahindi inayozuia yasibunguliwe na wadudu?

TensorFlow

JF-Expert Member
Feb 11, 2020
811
967
Hello,

Natafuta mifuko/magunia maalumu ya kuhifadhia mahindi. Hiyo mifuko imekuwa maarufu kwa madai kuwa ina uwezo wa kuhifadhi mahindi na kuyazuia kubanguliwa na wadudu. Kama unafahamu naipata wapi Dar, nipe taarifa. Nataka nishuke nayo kijijini mara moja.

tf.
 
Subiria wazoefu waje hasa wale ambao huhudhuria Nanenane lazima watakuwa wanajua wapi mifuko hiyo inapatikana
 
QUOTE="Kennedy, post: 35669161, member: 64800"]
Hii Ndiyo Nzuri Sana Haihitaji Dawa Wala Nini
[/QUOTE]
Sasa gharama ya kununua mapipa si balaa? Halafu bado ubebaji, ununue mapipa 500 au 1000 unapeleka kijijini, si utaonekana sio!
 
Ipo mingi sana kariakoo sokoni hapo. 5000 to 5500 kwa mmoja.
Nimenunua mara kadhaa kupeleka shambani.
 
Ipo mingi sana kariakoo sokoni hapo. 5000 to 5500 kwa mmoja.
Nimenunua mara kadhaa kupeleka shambani.
Inaonekana kwa Dar ni ghali, kuna mtu aliniambia Arusha bei ni 3500, nadhani kwa sababu kiwanda kipo huko. Sasa bei ya jumla vipi?
 
kwani kosa kununua reja reja mzee?
Sio kosa.

Mtoa mada kataka location na bei, amepewa ana dai 5000 bei ni kubwa kasikia Arusha ina 3500.
Kama anahitaji pc nyingi si aweke tu order kiwandani kuliko kununua hiyo ya rejareja.

NB: SIJAONA LOGIC YA SWALI LAKO.
 
Back
Top Bottom