mahali

Mahali, Mahle, Mahili are an ethnic group in India, Nepal and Bangladesh. The Mahali are local peoples to the states of Jharkhand, West Bengal and Odisha. They mostly reside in areas of West Bengal and Odisha near the Santhal Pargana division of Jharkhand. Mahali people form a different tribe which is sometimes grouped together with the Munda tribe. They speak the Mahali language, which is considered a dialect of Santali. The language only had around 33,000 speakers in 2007.

View More On Wikipedia.org
  1. Ri ri

    JamiiForums Tanzania Natafuta mahali pa kujifunza kupaka make up

    Habari zenu, natamani nipate ujuzi wa kupaka make up sababu naona nina interest na mambo ya urembo nadhani nitaexcel huko. Nahitaji mapendekezo yenu je ni wapi nitapata hayo mafunzo kwa Dar yani nikitoka hapo niwe nguli kabisa
  2. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

    Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua. UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA? Unachota mchanga wa hapo...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha MOSAD kushindwa kutambua mahali walipo mateka kinaifanya dunia ione uongo wa Mazayuni

    Kwema Wakuu! Haijalishi Israel itashinda kwa kishindo gani. Haijalishi itaua na kuangamiza Hamas na hasa. Lakini kitendo cha MOSAD Kushindwa kutambua mahali walipo Mateka kwa zaidi ya siku 40 imedhihirisha kuwa Ubora wa MOSAD umejengwa kwenye propaganda. Nawatakia usiku Mwema
  4. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kubaini kama picha uliyoiona imewahi kutumika mahali kwingine

    Kuna wakati upotoshaji huweza kutokea kwa kutumia picha ya zamani au picha isiyo mahali pake kuwaaminisha watu kuwa picha hiyo inahusiana na tukio au taarifa husika. Watumiaji wa picha hii hukusudia kuibua taharuki au kutaka kukupa nguvu upotoshaji wao kuufanya uaminika kirahisi. Zifuatazo ni...
  5. kikiboxer

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa mahali zilipo ofisi za Selcom kwa Dar es Salaam

    Salaam. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni. Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake. Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania namba 3 nchi bora kwa uwekezaji barani Afrika

    Na Mwl Udadis, Tarime Utafiti mpya kwa wawekezaji wa kimataifa na wa ndani umetoa takwimu kuwa Tanzania ni nchi ya tatu inayopendelewa zaidi kwa uwekezaji barani Afrika na ya kwanza kwa Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa Kampuni ya wataalam wa kimataifa katika shughuli za mahesabu ya KPMG...
  8. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi kuna mahali Neymar anatukosea na kuna mahali sisi tumemvunjia heshima yake

    Toa maoni yake hapo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa 2. Mbeya 3. Morogoro
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Utashangaa: Mahali pa watenda maovu ya kila namna duniani

    Mpango wa Mungu ni kila mwanadamu aifikilie toba na kuuacha uovu. Swali la kujiuliza ni sehemu gani waovu wanapaswa kukaa Ili kuweza kuifikia toba? Hakuna mahali pengine sahihi kwa waovu kama kwenye mahekalu kwa sababu maeneo mengine karibu yote hayabebi kusudi la kumfanya mtu aache uovu. Hivyo...
  11. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

    Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia...
  12. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

    Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia binti hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi katika mataifa yaliyoendelea hupeleka matukio mahali wanakotokea huku wakiwa viongozi wa kitaifa?

    Juzijuzi rais kaja na kizimkazi kabla hapajapoa waziri mkuu kaja na rwangwa marathon tukiwa hatujui mpango ataibuka na nini kule Buhigwe, kabla hatujasahau yale ya tulia kula Mbeya. Nimesikia aibu sana leo baada ya waziri mkuu kushindwa kutoa hotuba inayoashiria kuwa yeye ni kiongozi wa...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Taja mwiko, mila au desturi za kabila lenu au mahali ulipokulia

    Makabila yote hapa Afrika au nchi nyingine za Ulaya, Asia na Marekani, wanayo miiko, mila au desturi zilizozoeleka kiasi cha kurithiwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Hapa Tanzania, kwa mfano, kuna mambo fulani ambayo ni mwiko kufanyika katika jamii na ikitokea mmoja wa wanajamii akaenda...
  15. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tinashe Jonas atangaza mpango wa kufanya mapinduzi nchini Zimbabwe

    Video ya Kushtua ya Wanajeshi imetolewa ikimuonesha Jonas, wa Kamandi Kuu ya Ideal Zimbabwe, anapinga moja kwa moja serikali ya Zimbabwe na Kuomba msaada wa silaha zaidi katika video yake. Jonas Alitangaza Mrengo wake mpya wa Kijeshi mwezi uliopita na watu wengi hawakumchukulia kwa uzito...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akatalika kila mahali na kutengwa na kila mtu

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Dr Slaa anapitia wakati Mgumu Sana, wakati wa majuto, mateso ya moyo na nafsi na upweke wa hali ya juu sana. Kwa sasa haaminiki na yeyote wala kukubalika na kundi lolote lile, hasikilizwi na yeyote wala kupewa muda na yeyote. Amepuuzwa na kila mtu na...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

    Heshima sana wanajamvi, Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda. Kuendelea kumbakiza wizara hiyo hiyo ilikuwa ni kumharibia kisiasa. Najua watu wengi wamekimbilia kushangaa...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua gharama za mashine za kupandia mahindi na mahali zinapopatika Dar es Salaam

    Salamu, Wapendwa nahitaji kujua mashine ya kupandia mahindi zinapopatikana na gaharama yake. Nipo Dar es salamu muda huu. Nia na madhumuni yangu ni kuepuka hasara kubwa niliyoipata mawaka huu wa kilimo baada ya kupata mavuno duni sana, kutokana na mtindo wa kurusha mbegu huku nalifukuza trekta...
  19. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuuza hii aina ya brush au anaefahamu mahali zinapoweza patikana, anifahamishe tafadhali

  20. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tafakari: Kila sekunde moja inaenda sambamba na tukio fulani mahali fulani

    Leo nimekaa na kuwaza jambo fulani fikirishi sana sijui kama na wewe ulishawahi kufikiria nilichofikiria; Kila sekunde inayokwenda kuna tukio mahali fulani duniani kama ifuatavyo; Kila sekunde moja kuna watu lukuki wanakufa Kila sekunde moja kuna watu wanaambukizana ukimwi mahali fulani Kila...
Back
Top Bottom