Nilimpunja mama mkwe mahari. Jumamosi nimemuongezea nyingine

Guru Guja

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
217
281
Niliamua kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya hivyo.

Ni kama miezi miwili nikagundua ile mahari milioni 5.7 ilikuwa dogo sana, nafaidi sana kwa kweli. Jumamosi nikamtumia mama mkwe tsh milion 2.5 kama asanteni kwa kumtunza na kumfundisha vizuri mtoto wake. Ameshukuru sana na kumpigia mtoto wake kuwa ajitunze, aaendeelee kuniheshimu maana wanaume wachache wanafanaya hivyo.

Tumefurahi wote sana na nitaendelea kumutunza mtoto na mama yake ananipenda sana jamani. Mkiona mke anafaa sana muwape taarifa na wazazi wake wajifunze kitu kizuri.
 
Niliamuwa kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya hivyo.

Kumbe una miezi miwili tu, sawa
 
sifa zote hizo alaf unaogopa kuweka picha???
 
Back
Top Bottom