Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
Mahakama ya Afrika Mashariki imetupilia mbali ombi la jamii ya wamasai katika kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati yao na serikali ya Tanzania. Ardhi iko katika Serengeti maarufu.
Walalamikaji wa Wamaasai walitaka Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ) iizuie serikali ya Tanzania kuwaondoa...
Felicien Kabuga mmoja kati ya watuhumiwa wakuu tafikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ICC, ambako ameshtakiwa kwa Mauaji ya Halaiki na Uhalifu dhidi ya Binadamu, akitajwa kufadhili uhalifu huo dhidi ya Watutsi miaka 28 iliyopita.
Kabuga mwenye miaka 80 alikamatwa nchini...
Wanabodi,
Hii ni makala ya Jumapili ya leo, kazi inaendelea...
Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, ambako mwanasheria wako, Wakili Pascal Mayalla, anakuzamisha kwenye Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki sura kwa sura. Leo tunaenda SURA...
NAFASI YA WATUNGA SERA:
1) Kujenga uelewa kwa Umma juu ya Haki ya Faragha na Ulinzi Wa Taarifa
2) Kushirikiana kwa karibu na Wadau wengine kuhusu Masuala ya Kulinda Taarifa
3) Kutengeneza Mifumo ya Kulinda Taarifa kulingana na Sheria na Viwango vya Kimataifa vya Haki Za Binadamu
ASASI ZA...
Ndiritu Muriithi, Gavana wa zamani wa Kaunti ya Laikipia anaweza kupata adhabu ya kifungo cha hadi miezi 6 jela pamoja na wenzake 13 waliokuwa wafanyakazi wa Tume ya Utumishi wa kaunti hiyo kwa kukiuka amri ya mahakama iliyowataka kuwarejesha kazini madaktari 33 waliokuwa wameondolewa miezi 40...
Kiongozi huyo wa chama cha muungano cha Azimio la Umoja One Kenya, anadai kwamba hatua ya hivi karibuni ya Rais William Ruto ya kuwateua majaji sita ambao walikataliwa na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta ililenga kudhibiti Idara ya Mahakama.
Akizungumza katika Kaunti ya Machakos siku ya Ijumaa...
Aliyekuwa mgombea urais wa Kenya Raila Odinga amerejea nchini humo akitokea Zanzibar
Raila amesema hakubaliani na uamuzi wa mahakama kushikilia ushindi wa Ruto na kusema mahakama ilifanya ujambazi na uamuzi wa kijinga
Amesema watafanya maandamano ya watu milioni kuelekea mahakama kuu kuwaondoa...
Leo imetoka taarifa juu ya Mahakama Kuu kubatilisha hukumu iliyotolewa dhidi ya mtu aliyekutwa na hatia ya kufanya vitendo vya uchawi dhidi ya mtoto wa ndugu yake huko Njombe!
Hukumu hii ilitolewa kipindi ambacho vitendo vya uchawi na ushirikina vikiwa vimeshika hatamu kwa kiwango cha...
Kesi namba 2 ya mwaka 2022 ya uhujumu uchumi inayomkali Lengai Ole Sabaya imetajwa tena leo katika mahakama ya hakimu mkazi Moshi mbele ya hakimu mfawidhi Salome Mshasha ambapo hoja mbalimbali zimeibuliwa ikiwemo ya DPP kuendesha mahakama kama anavyotaka yeye.
Hoja hiyo imeibuliwa na wakili wa...
Mgombea Mwenza wa Raila Odinga, Martha Karua amegusia uamuzi wa kuhamishia Pingamizi la Urais nchini Tanzania ili kupinga uamuzi wa Mahakama ya Juu ulioidhinisha ushindi wa Rais Mteule William Ruto.
"Nafikiria kusafiri kwenda Mahakama ya Afrika Mashariki ili tukajadili hukumu hiyo. Nina muda...
Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili
Mahakama imesema malalamiko ya UNITA hayakukidhi matakwa ya kuruhusu chombo hicho cha kisheria...
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumatano imewazuia Mjumbe wa Halmashauri Kuu NCCR Mageuzi, Joseph Selasini na wenzake kuratibu na kuitisha Mkutano au kikao chochote kitachohusu chama hicho.
Kama Mahakama haitaweka zuio la vikao kufanyika, hapatakuwa na maana ya maombi haya kuwepo...
1. Teknolojia iliyotumwa na IEBC kwa uendeshaji wa uchaguzi mkuu wa 2022 iliafiki viwango vya uadilifu, uthibitisho, usalama na uwazi ili kuhakikisha matokeo sahihi na yanayoweza kuthibitishwa. (Kwa kauli moja. Jaji Mkuu Martha Koome, Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu, Mohammed K Ibrahim, Njoki...
Aliyekuwa Mgombea Urais kupitia tiketi ya Azimio La Umoja-One Nchini Kenya, Raila Odinga amesema anaiheshimu Mahakama ya Upeo iliyopitisha maamuzi ya William Ruto kuwa Rais Mteule lakini hakubaliani na maamuzi yao hayo.
Raila amesema Azimio wanaheshimu utawala wa Katiba na Sheria
“Wanasheria...
MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO
Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo.
Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
Katazo hilo linakuja ikiwa ni masaa chini ya 24 yamesalia kwa Mahakama Kuu kutoa uamuzi wa mwisho kuhusu Matokeo ya Rais ambayo yaliwekewa Pingamizi na Mgombea wa Azimio, Raila Odinga.
Katika taarifa yake Jeshi la Huduma za Polisi (NPS) pia limezuia matumizi ya Barabara zote zinazoelekea...
Wakati maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu hatma ya Matokeo ya Urais yakisubiriwa nchini kote, Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Edward Mbugua ameagiza Makamanda wote wa Mikoa kusambaza Askari, Vifaa na Mitambo ya Usalama ili kudhibiti majaribio yoyote ya uhalifu.
Hatua hiyo inajiri ikiwa ni siku...
Baada ya Majaji wa Mahakama Kuu kumaliza kusikiliza mashauri ya Pingamizi la Matokeo ya Urais pamoja na Utetezi, Haya ndio maamuzi yanayoweza kutolewa Jumatatu Septemba 5, 2022.
Iwapo Mahakama itaona dosari kubwa zilizoathiri kwa kiasi kikubwa matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi (IEBC)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.