Interview ya kazi ya Utumishi wa Mahakama imetoka?

Moniel

JF-Expert Member
Nov 17, 2020
228
553
Habari zenu wakuu!

Niliomba nafasi ya kazi ya Accounts officer katika tume ya utumishi wa mahakama katika mfumo wao wa kutuma maombi (Online Application),
Leo mchana nimesikiliza Tbc FM kuwa majina yalishatoka kwa ajili ya interview lakini bado sijatumiwa ujumbe Hata kuona kwenye account yangu Kama nimekuwa selected au hapana.
Naombeni msaada kwa yeyote aliyefanya application aniambie majina yanakuwa wapi.
Ahsante.
 
Sijasikia chochote kuhusu interview za mahakama ingawa nimeomba pia hyo post ya account....nafikiiri mchakato hauwez kuwa haraka hvo at least two weeks since deadline
 
Sio poa
 
Attachments

  • en-1655059513-ORODHA YA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI.pdf
    593.4 KB · Views: 18
  • en-1655058758-TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
    169.7 KB · Views: 10
Habari zenu wakuu!

Niliomba nafasi ya kazi ya Accounts officer katika tume ya utumishi wa mahakama katika mfumo wao wa kutuma maombi (Online Application),
Leo mchana nimesikiliza Tbc FM kuwa majina yalishatoka kwa ajili ya interview lakini bado sijatumiwa ujumbe Hata kuona kwenye account yangu Kama nimekuwa selected au hapana.
Naombeni msaada kwa yeyote aliyefanya application aniambie majina yanakuwa wapi.
Ahsante.
Kuna msg inatembea wanasema tayar Ila sijaona hayo majina...Ila wamekata sanaa
 
Sio poa kabisa, sijabahatika kuchaguliwa
Kutoboa apa ni zaidi ya kupenya kwenye tundu la dirisha, usikate tamaa tupambane na ajila portal huku nani anakujua zipo kibao.
Screenshot_20220613-083432.jpg
 
Back
Top Bottom