Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,348
- 217,391
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu, amesema kwamba chama chake kiliwasilisha kwa Spika wa Bunge la Tanzania taarifa ya kutupwa kwa kesi iliyofunguliwa na Halima Mdee na wenzake mara tu baada ya Uamuzi wa Mahakama kutolewa.
Kwahiyo visingizio vyovyote vitakavyoletwa na Spika wa Bunge hilo, vya kuwabeba wabunge wale 19 wasio na chama chochote cha siasa, kama Katiba ya Nchi inavyoelekeza ni Ukaidi na Kiburi chake mwenyewe ili kukidhi matakwa yake, na ni UVUNJIFU WA MAKUSUDI WA KATIBA YA NCHI, kama alivyozoea kuivunja mara zote.
Bali jambo kubwa linalopaswa kufahamika na Tulia Ackson na wapambe wake ni hili, KILA UBAYA UTALIPWA.
Pia soma - Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali