Spika siyo lazima atii Mahakama

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19

Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu

Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye

Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
 
Ama kweli wewe ni njaakalihatari maana unandika toka hewani, siyo akilini. Yaani just, AKIPENDA..

Yaani ni kusema kuwa tutakuwa tunaishi kwenye nchi ya "ANIMAL FARM" au basi sema "BANANA REPUBLIC" kwa sababu viongozi wetu watakuwa wanatoa maamuzi yao simply tu kwa sababu, watakuwa WANAPENDA..!!

Haiko hivyo na haitakuwa hivyo for more another time.

Kama Hakimu/judge aliyetoa hukumu hiyo ya kina Mdee hakutumia principle ya "AKIPENDA" basi hata Tulia Ackson hatafanya kwa kuwa, AMEPENDA...!!
 
Mkuu hakuna hilo! Kwa sababu Supika alisema hawezi kuwafukuza Ubunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa maamuzi kuhusiana na shauri walilopeleka mahakamani.Sasa Mahakama imetoa maamuzi atafanyaje?

Hahaha mtakuwa wapole gafla
 
Elimu, Elimu, Elimu loooooo mtoa hoja upumbavu huu it's sad,Bunge linatunga sheria na Mahakama zinatafsiri sheria, kinachoamuliwa na mahakama ndio utafsiri wa sheria hiyo.
 
Kama kuna issue itampa umaarufu na heshima duniani speaker tulia ackson ni hii ya wabunge waitwao covid 19

Mahakama haijapeleka barua hawezi fanyia kazi maneno ya mitandao na pia siyo lazima afate maamuzi ya mahakama bunge limejichimbia chini zaidi labda apende tu

Akiwatetea wanawake wenzake hakika feminists duniani watamxhukulia kama shujaa wao na bila shaka atakuwa president ajaye

Piga kazi spika usiwatoe hao achana naa makelele ya wanuka jasho hawana la kukufanya
Kwanz alewa maana ya feminist
As far as concerned feminist hawatawali hii nchi.
Nakushangaa unatala speaker afanye maamuzi sababu ni "wanawake" na si kwa mujibu wa "sheria".
Cheo cha speaker hakina jinsia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom