johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,599
- 141,415
ITV imeripoti Mwalimu wa Global International school ambaye ni raia wa Kenya kutuhumiwa kuwalawiti watoto wadogo 8
Wazazi wa watoto hai wamedai wamkamata Mwalimu huyo na kumfikisha Oysterbay Police Station lakini walipomfuatilia siku ya pili wakaambiwa amepewa dhamana.
Inawezekana mtuhumiwa kama huyu kupewa dhamana nje ya Mahakama?
Hatari!