magumu

Magumu is ward in South Kinangop Division, Kinangop Constituency in Nyandarua County, Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Gibbethon bible code

    Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

    Kama kinavyosema kichwa cha habari hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini walokole wengi sio wote hali zao za kipato sio nzuri japokua kwenye biblia wameahidiwa baraka nyingi sana na Mungu na huku watu wanaoishi maisha yasiyompendeza Mungu wanamaisha mazuri na familia zao...
  2. monotheist

    Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

    TUKIO LA 1: Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee...
  3. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali kuwabeba watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu.

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema serikali imeendelea kutoa motisha ya kifedha na isiyo ya kifedha kwa watumishi wote ikiwemo watumishi wanaofanya kazi kwenye mazingira magumu kwa kuboresha viwango vya posho ya kazi baada ya...
  4. DR HAYA LAND

    Japo Maisha ni magumu ila unaweza kujifunza mbinu mbalimbali Kama kijana ili kupunguza ugumu wa Maisha.

    Kama kijana mahala popote ulipo hakikisha unayapambania mahusiano mazuri na watu wenye umuhimu kwako. Jinsi ambavyo unayapambia mahusiano ya kimapenzi ili yakupe short pleasure as the same pambana mara kumi yake kupambania kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa muhimu. Usikubali mtu afahamu...
  5. Naantombe Mushi

    Falsafa na Maisha 101: Ni muhimu sana kuwafunza watoto wetu falsafa muhimu za maisha, la sivyo maisha yao duniani yatakuwa magumu sana

    Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu. Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha 1. Usiwe mtu wa kulalamika...
  6. TUKANA UONE

    Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

    Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!. Ninawafahamu jamaa...
  7. cold water

    Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  8. R

    Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

    Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji. Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro. Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe. Sijui...
  9. Mjomba Fujo

    Maswali magumu kwenye imani na sayansi

    Nimekua na maswali yasiyo na majibu. Kwenye Sayansi tunaambiwa binadamu wametokana na evolution process kwamba ni zao na masokwe sijui nyani. Kwenye imani za kidini tunaambiwa Mungu aliumba adam na Hawa ndio mwanzo. swali langu 1. Kwenye sayansi Je hao nyani au sokwe waliofanya evolution na...
  10. nzalendo

    Tafuta mke ukiwa katika mazingira magumu

    Hasa kiuchumi, hata kama upo vizuri. Jifanye huna kitu, usijionyeshe, acha mbwembwe na usanii. Je, njia hii yaweza wasaidia vijana? Rejea, akufaae kwa dhiki.
  11. Gentlemen_

    Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

    Wazee wa kupambania Kombe Huwa mnatumia Njia gani kuomba/kuchukua namba za simu katika Mazingira MAGUMU na HATARISHI? Umafia: Part 1> Nilikuwa nipo katika Daladala watu wengi vibaya mno, nikatupia jicho pembeni nikaona KIFAA kimetulia kinachezea simu. Nikajiuliza hapa namba nabebaje? Kuangalia...
  12. J

    BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu

    BoT ACHENI MAJIBU MEPESI KWENYE MASWALI MAGUMU BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu hasa hili la upungufu wa dola kwenye mzunguko wa uchumi, Ni kweli ukosefu wa dola ni janga la kidunia lakin kama wataalamu wa uchumi tuliowapa nafasi ya kutusaidia katika maswala yote ya fedha na...
  13. ChoiceVariable

    Waziri Simbachawene: Watanzania fanyeni kazi na mtafute pesa. Maisha sio Magumu

    Boniface Simbachawene amewachana live watu waache visingizio na watafute pesa kwa kufanya kazi zaidi kwani maisha sio magumu Bali mahitaji ya pesa yameongezeka. My Take Watu waambiwe ukweli hakuna kupakwa mafuta Kwa mgongo wa chupa.😂😂 ===== Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya...
  14. D

    IGP Kamilius Wambura fanya maamuzi magumu, jiuzulu

    Ninajua si utamaduni wetu mtu kujihisi hatia na kuamua kujiuzulu. Dhana ya kujiuzulu kwa Tanzania bado inaonekana kama udhaifu. Kwamba hata kama unanuka basi unakomaa tu. Unafia kitini. Lakini kwa IGP Wambura ni muda muafaka kabisa wa kujiuzulu wadhifa huo ili ubaki kuwa mtu safi. Inakuwaje...
  15. Mto Songwe

    Historia za mageuzi magumu Afrika

    Bara la Afrika limepitia vipindi vigumu mbali mbali vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala toka chini ya ukoloni wa mataifa ya nje na ukoloni wa ndani. Hivi vifuatavyo ndivyo vipindi maarufu zaidi vya mageuzi ya kisiasa na kiutawala vilivyo tokea na vinavyo tokea Afrika mpaka sasa:- 1. Harakati...
  16. Wakili wa shetani

    Maisha huko tuendako yatakuwa magumu mno. Tujipange

    Juzi hapa India imepiga marufuku kuuza mchele nje ya nchi yao. India ndiye muuzaji mkubwa wa mchele duniani. Nchi tatu zinazofuatia zikijulisha kiasi zinachouza bado hazifikii kiwango inachouza India. Pia ni muuzaji mkubwa wa ngano, hii alishapiga marufuku kuuza nje siku nyingi. Matokeo yake...
  17. T

    Muda wa maamuzi magumu ni sasa

    Katika kitabu cha Shaban Robert kiitwacho Kusadikika, Mtunzi anashauri 'Ng'ombe kurejea zizini kusaidiwa baada ya kuvunjika marishoni, sio kosa'. CCM imevunjika, irejee zizini kusaidiwa ili kusonga mbele. Maandalizi ya uchaguzi wa 2025 ni sasa hivyo kama chama tufanye maanuzi magumu ili...
  18. mwanamichakato

    Rais Samia tunakuomba hutubia taifa, omba radhi, fanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huu nchi ipone

    Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu. Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
  19. Liverpool VPN

    Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

    INTRODUCTION Nawasalimu kwa jina la chama kubwa YANGA basi jibuni "Ubingwa uendelee"" Naanza Mimi. Mimi nilizaliwa mjini Daslam! Miaka ya 1990. Wakati nazaliwa tulikuwa tunaishi Mwananyamala B Na nikiwa mdogo nilifiwa na wazazi nikachukuliwa na ndugu kwenda kuishi mwananyamala Komakoma. Hapo...
  20. B

    Ni kweli maisha magumu, lakini tumia kanuni hii 50%+30%+20 kuyalainisha

    50% ya kipato chako fanya matumizi ya muhimu / ya lazima mfano kulipa kodi au ada ya mtoto. 30% ya mshahara au kipato chako tumia kwa matumizi yasiyo na ulazima, mfano kukunua nguo, radio, saa, kwenda beach, kwa kifupi mwagilia moyo, hivyo ni vitu ambavyo sio vya lazima yaani usipovifanya...
Back
Top Bottom