Anasema haya akiwa ndani ya Nigeria au nje? Maana Kobazi wa Nigeria hawanaga masihara. Watamtafuta wamchinje huku anarekodiwa.😀😀😀"Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashinwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa kuelewa Kiarabu kaburini? 😂"
View attachment 3558356
Wengine kilatin, kiyahudi na kigiriki vitatuhusuAt some point we gonna have to be honest about religion🤦🏽♂️
Yes all of them!
Kwani amemwambia nani kuwa kaburini ataulizwa maswali kwa kiarabu?
😄😄😄Wale ni wehuAnasema haya akiwa ndani ya Nigeria au nje? Maana Kobazi wa Nigeria hawanaga masihara. Watamtafuta wamchinje huku anarekodiwa.😀😀😀
For sureAt some point we gonna have to be honest about religion🤦🏽♂️
Yes all of them!
Nimekaa palee nasubiri jibu.Ataulizwa kwa lugha gani?
😂😂😂😂 Sijui itakuwaje!Wengine kilatin, kiyahudi na kigiriki vitatuhusu
Hakuna anayejua katika wanadamu?Ataulizwa kwa lugha gani?
Hakuna hadith inayosema kuwa huko kitaongelewa kiarabuHadithi za Kiislam ndio zinasema hivyo. Na watakuuliza maswal matatu.
Alaf baada ya ww kujibu na kusema kama mtume wako ni Mohamed au lah. Basi wao watakupa adhabu ya kaburi au wakupeleke uone peponi.
Its obvious watakuuliza kwa Kiarabu. Si ndio lugha ya allah. Na ndio lugha alishushia Quran had mbingu ya 1.