Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Maisha ya kujitegemea ni magumu nyie

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,418
Reaction score
4,113
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
 
Rudi nyumbani mwaya
Km unafanya kazi mkoa ambao ni kwenu kwann ukapange mtt wa kike?
RUdi home save hiyo hela
 
The joke is on you, ukirudi kwa wazazi utateseka, ukiolewa uhudumiwe utateseka, ukisema ujiajiri utateseka pia 🤣
Kifupi mateso ni kifurushi cha kudumu chagua yenye unafuu kidogo baaaaasi!
 
Wakubwa shikamoon

Maisha ya kujitegemea ni magumu sana,yaani upange chumba ulipie,kisha uanze kupambana na daladala kukupeleka kazini siyo Jambo rahisi ,kiufupi narudi nyumbani kuteseka siyo sifa.

Siwezi kuuza mwili wangu ili kutimiza baadhi ya mujukumu huu ni utumwa kwangu sikubali lol
Uko tayari kuolewa boss?
 
Back
Top Bottom